😁😁😁😁 Npo Kwenye huyo msongo wa mawazo mkuu lkn kutukana mtu hapana ,,,npo hapaa nasikiliziaa hip-hop ngumuu na naonaa mawazo yatakwisha tu ...Yani kuponya maumivu yao wao ni Ku comment shit kwenye mada za wengine ama kutafuta ugomvi usio na sababu
Aah Sasa tuwasaidiaje? Lukas Mwashambwa anakosa kweli!Ni aina fulani ya uchovu wa kina wa nafsi-aina ya uchovu wa kihisia au kiroho ambao unaweza kutoka kwa maumivu ya moyo, kutendwa, huzuni, au kuchoshwa tu na maisha, ... Bila kupata faraja ama kwa sababu ya kubeba mzigo huo mzito kwa muda mrefu sana.
Introverts wengi kwa kukosa ujasiri wa kutafuta msaada hupitia hii hali na huwa na madhara makubwa kiroho na kimwili
Muda huu ninapoandika kuna watu wako
Nyumbani
Kazini
Safarini
Bar
JF wanapitia hii changamoto.. Na inawatafuna taratibu bila suluhu.. Matokeo yake hali hii ikizidi bila tiba unaweza kuwakuta wamejidhuru ama wamewadhuru wengine
JF tunao hawa watu.. Yani kuponya maumivu yao wao ni Ku comment shit kwenye mada za wengine ama kutafuta ugomvi usio na sababu
Kula Neno unatoboa!😁😁😁😁 Npo Kwenye huyo msongo wa mawazo mkuu lkn kutukana mtu hapana ,,,npo hapaa nasikiliziaa hip-hop ngumuu na naonaa mawazo yatakwisha tu ...
Hakuna Hali inayodumu Kwenye maishà mkuu..
Yaani kama vile unanielezea mimi.Ni aina fulani ya uchovu wa kina wa nafsi-aina ya uchovu wa kihisia au kiroho ambao unaweza kutoka kwa maumivu ya moyo, kutendwa, huzuni, au kuchoshwa tu na maisha, ... Bila kupata faraja ama kwa sababu ya kubeba mzigo huo mzito kwa muda mrefu sana.
Introverts wengi kwa kukosa ujasiri wa kutafuta msaada hupitia hii hali na huwa na madhara makubwa kiroho na kimwili
Muda huu ninapoandika kuna watu wako
Nyumbani
Kazini
Safarini
Bar
JF wanapitia hii changamoto.. Na inawatafuna taratibu bila suluhu.. Matokeo yake hali hii ikizidi bila tiba unaweza kuwakuta wamejidhuru ama wamewadhuru wengine
JF tunao hawa watu.. Yani kuponya maumivu yao wao ni Ku comment shit kwenye mada za wengine ama kutafuta ugomvi usio na sababu
Huo muda Tafta Bibilia agano jipya soma utapata nguvu mpyaYaani kama vile unanielezea mimi.
Hapa nimejifungia ndani tu hata kazini sijaenda.
Ila hapo kwenye kujidhuru ndo siwezi maana nina roho ngumu sana. Lakini pia kuanzishwa magomvi na vurugu si jadi yangu. But I see myself slowly dying inside.
JF wanapitia hii changamoto.. Na inawatafuna taratibu bila suluhu.. Matokeo yake hali hii ikizidi bila tiba unaweza kuwakuta wamejidhuru ama wamewadhuru wengineNi aina fulani ya uchovu wa kina wa nafsi-aina ya uchovu wa kihisia au kiroho ambao unaweza kutoka kwa maumivu ya moyo, kutendwa, huzuni, au kuchoshwa tu na maisha, ... Bila kupata faraja ama kwa sababu ya kubeba mzigo huo mzito kwa muda mrefu sana.
Introverts wengi kwa kukosa ujasiri wa kutafuta msaada hupitia hii hali na huwa na madhara makubwa kiroho na kimwili
Muda huu ninapoandika kuna watu wako
Nyumbani
Kazini
Safarini
Bar
Yaani kama vile unanielezea mimi.
Hapa nimejifungia ndani tu hata kazini sijaenda.
Ila hapo kwenye kujidhuru ndo siwezi maana nina roho ngumu sana. Lakini pia kuanzishwa magomvi na vurugu si jadi yangu. But I see myself slowly dying inside.
Tena Kwa uzuriii TU.Ni aina fulani ya uchovu wa kina wa nafsi-aina ya uchovu wa kihisia au kiroho ambao unaweza kutoka kwa maumivu ya moyo, kutendwa, huzuni, au kuchoshwa tu na maisha, ... Bila kupata faraja ama kwa sababu ya kubeba mzigo huo mzito kwa muda mrefu sana.
Introverts wengi kwa kukosa ujasiri wa kutafuta msaada hupitia hii hali na huwa na madhara makubwa kiroho na kimwili
Muda huu ninapoandika kuna watu wako
Nyumbani
Kazini
Safarini
Bar
JF wanapitia hii changamoto.. Na inawatafuna taratibu bila suluhu.. Matokeo yake hali hii ikizidi bila tiba unaweza kuwakuta wamejidhuru ama wamewadhuru wengine
JF tunao hawa watu.. Yani kuponya maumivu yao wao ni Ku comment shit kwenye mada za wengine ama kutafuta ugomvi usio na sababu
Wapo wengi sana. Je hawa ndio wale wanaitwa Narsistic personality?Ni aina fulani ya uchovu wa kina wa nafsi-aina ya uchovu wa kihisia au kiroho ambao unaweza kutoka kwa maumivu ya moyo, kutendwa, huzuni, au kuchoshwa tu na maisha, ... Bila kupata faraja ama kwa sababu ya kubeba mzigo huo mzito kwa muda mrefu sana.
Introverts wengi kwa kukosa ujasiri wa kutafuta msaada hupitia hii hali na huwa na madhara makubwa kiroho na kimwili
Muda huu ninapoandika kuna watu wako
Nyumbani
Kazini
Safarini
Bar
JF wanapitia hii changamoto.. Na inawatafuna taratibu bila suluhu.. Matokeo yake hali hii ikizidi bila tiba unaweza kuwakuta wamejidhuru ama wamewadhuru wengine
JF tunao hawa watu.. Yani kuponya maumivu yao wao ni Ku comment shit kwenye mada za wengine ama kutafuta ugomvi usio na sababu
Mstari upi? Au ndo nikasome agano lote?Huo muda Tafta Bibilia agano jipya soma utapata nguvu mpya
Wewe unadhani kutoa Sex movies zaidi ya 200 ni mchezo? Wale watu wakiwa nje wanajionesha wana furaha( Fake facial expressions) lakini wanatembea na maumivu. Wako sawa na machawa.Tetesi zinasema Kylie Page amefariki kutokana na hizo mambo za kujichoka na uhafifu wa afya ya akili.