Tuipongeze NEC kwa haya yanayoendelea hadi sasa!!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,400
Reaction score
31,909
Nadhani kile kihoro kilichokuwa kinahamasishwa na wanasiasa uchwara kinaanza kuondoka.

Watu wanapiga kura na kuondoka kwa amani.kwa hali za vituo vingi utajionea vurugu ambazo zingeweza kutokea iwapo watu wangeruhusiwa kubaki eneo la mita 200.
 
Mbona Kila Mara JINGALAO Unaanzisha Post ya Kurudi Nyumbani, Kulikoni?? . Tumepiga Kura na tupo maeneo ya Kituoni hakuna vurugu

Tunasubiria hadi Matokeo yatangazwe Ndio Tunaenda Nyumbani.

NB: Angalia Live ITV Uone ambavyo sheria ya Meta 200 Imefloat.. Means Not Applicable Na Haitawasaidia CCM.
 
huyu jinga lao nae kila siku mada zake nikupumba tu hum,,sasa kwataarifa yako hatupo mita 200 ,tupo mita 10 tu kutoka chumba cha kupigia kura ,,,nahayo maboksi yakura feki mwaka huu hamtapata chansi ya kuyaingiza nakwambia naishakula kwenu
 
Kutokea vurugu ni dhana ya kufikirika na INA nia ovu! Mungu yuko kazini na atakayejaribu kuiba kura lazima ataaibika! Atapambana na malaika wanaoilinda sauti ya Mungu kupitia kura zetu!!!
 
Vipi kuhusu kura zilizokamatwa kule njombe jana mbona hatujapata mrejesho kutoka tume?
 
Kutokea vurugu ni dhana ya kufikirika na INA nia ovu! Mungu yuko kazini na atakayejaribu kuiba kura lazima ataaibika! Atapambana na malaika wanaoilinda sauti ya Mungu kupitia kura zetu!!!

Amina amina amina amina
 
Mbona Kila Mara JINGALAO Unaanzisha Post ya Kurudi Nyumbani, Kulikoni?? . Tumepiga Kura na tupo maeneo ya Kituoni hakuna vurugu

Tunasubiria hadi Matokeo yatangazwe Ndio Tunaenda Nyumbani.

NB: Angalia Live ITV Uone ambavyo sheria ya Meta 200 Imefloat.. Means Not Applicable Na Haitawasaidia CCM.

Umeona eeeeh? Dawa yao ni kupiga kura mwishoni
 
huyu jinga lao nae kila siku mada zake nikupumba tu hum,,sasa kwataarifa yako hatupo mita 200 ,tupo mita 10 tu kutoka chumba cha kupigia kura ,,,nahayo maboksi yakura feki mwaka huu hamtapata chansi ya kuyaingiza nakwambia naishakula kwenu

Mkuu mimi nitaingia kwenye foreni kuanzia saa 7 mchana ili niwe mlinzi wa kura zetu hadi dkk za mwisho hayo maccm wanajisumbua tu
 
Nadhani kile kihoro kilichokuwa kinahamasishwa na wanasiasa uchwara kinaanza kuondoka.

Watu wanapiga kura na kuondoka kwa amani.kwa hali za vituo vingi utajionea vurugu ambazo zingeweza kutokea iwapo watu wangeruhusiwa kubaki eneo la mita 200.

Tuwapongeze pia kwa wizi wa kura kule vunjo na iringa!!
 
Nadhani kile kihoro kilichokuwa kinahamasishwa na wanasiasa uchwara kinaanza kuondoka.

Watu wanapiga kura na kuondoka kwa amani.kwa hali za vituo vingi utajionea vurugu ambazo zingeweza kutokea iwapo watu wangeruhusiwa kubaki eneo la mita 200.

Tupo vituoni na kura hatuna shaka nazo ccm lazima mhame nchi hii
 
wakuu huku kimara kituo cha st.peters hamna makarani, wasimamizi wala vifaa vya kura watu hawajui chq kufanya
 
kura tumepiga na tupo ndani ya mita 30 toka kituoni tunalinda kura.
 
hayo majina 400 ambao hayaonekani tumejua kwa sababu ni Dar es Salaam media nyingi zinaona, mpaka jioni utasikia zaidi ya watu milion mbili hawakuona majina wakati wana kadi na hapo ndipo utajua kuwa maboksi ya kura zilizopigwa na mihuri ya 2010 ni cha mtoto!
 
Nimekaa hapa mlangoni kwa kituo nalinda kura.
Hali ni shwari kabisa.
Kundi la vijana walinda kura litakuja kuanzia saa 9 mchana.
 
Back
Top Bottom