Tuipongeze NEC kwa haya yanayoendelea hadi sasa!!

Tuipongeze NEC kwa haya yanayoendelea hadi sasa!!

Mapungufu ni mengi, majina ya watu hakuna...hilo swala la mita 200 sio kitu hadi wapewe hongera kura zitalindwa tu
 
Bado naamini NEC iko vizuri
 
Ni wajibu wao kufanya hayo, au ndiyo ajira yao hiyo sasa wasifiwe kwa lipi wakati kazi ndiyo baaado kabisa.
 
Daah mkuu nimeishiwa nguvu kabisa kana kwamba nimebanwa kende mlangoni jinc nlivyohaha

Yaani nilijua tu server imezidiwa, inabidi JF waongeze uwezo wa security...
Kama wameweza kuishusha basi hata data zetu wanazo tayari
 
Back
Top Bottom