donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Swali fikirishiSINGELI NI MZIKI WA ASILI YA TANZANIA NZIMA AU BAADHINYA SEHEMU???MAANA UKIZUNGUMZIA KWAITO NI SA NZIMA,BOLINGO NI CONGO NZIMA ILA HII SINGELI NI MZIKI WA ASILI TOKA KABILA FULANI TU,JE UNAWEZA KUWA NDO MUZIKI WETU WA TAIFA KAMA UTAMBULISHO WETU???
YesSingeli to the World
[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Nini kinachofanya washindwe/tushindweWamejaribu sana lakini wameshindwa...
Well said mkuuInawezekana kama Singeli ikiongezwa vionjo na maudhui ya nyimbo yabadilike kidogo kuendana na soko la kimataifa. Kwasasa nikisikiliza naburudika lakini naona ujumbe kwenye nyimbo za waimba Singeli wote unawalenga watu wa Mbagala na wacheza vigodoro tu. Hii nafikiri ni kwasababu waimbaji wake wengi wametokea kwenye mazingira hayo. Hili ni swala la wadau wa muziki, maproducer na waandishi wa nyimbo wawasimamie haya vijana watoe nyimbo za kueleweka
Kwaio mkuu unataka watu wachane kwenye beats za techno au trap? [emoji2][emoji2][emoji2]Muziki wa singeli ili uweze kupenya kimataifa inatakiwa kwanza ukubalike ushuani.
Lazima wakubali ku customize midundo yao ifanane atleast na muziki wa dunia.
Umenena vyema sana mkuuKulikuwa na movement ya singeli to the worldmwaka jana, lakini ikaishia katikati.
Tatizo wabongo huwa tunapenda shortcut na hatukubali vya kwetu, mfano singeli kuna wabongo "wakishua" watakuambia hawasikilizi mziki wa uswazi lakini zikipigwa amapiano ambazo hizo hizo zinasikilizwa huko sauzi uswazi wanaruka nazo na mizuka yote.
Sasa msanii akiona hilo vibe akiingia studio atataka na yeye arekodi ngoma kama msauzi, tulishaiga wanaija pia kupiga ule mtindo wa afrobeats na ukija mtindo mwingine tutaruka nao hivyo hivyo, hakuna msanii mwenye moyo wa kutengeneza identity ya muziki wetu maana identity haiendi tu na trends, mwanzoni utakomaa na watu wanaweza wasikuelewe.
[emoji23][emoji23][emoji23], ila kwenye spika kubwa hauondoki. Halafu ukute sasa siku hiyo ni weekend halafu watoto wa chuo wana boomfirst
Mimi pia nipo hapo ulipo mkuu ukimuona mtu mnene kama kibanda cha mpesa, kavaa kanzu nyeupe. Nistue
Pili amapiano ni muziki wa hovyo kuwahi kutokea, muziki gani mpaka usikilize kwenye speaker kubwa tu?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23], ila kwenye spika kubwa hauondoki. Halafu ukute sasa siku hiyo ni weekend halafu watoto wa chuo wana boom