RedSilverDog said:
Nakubaliana na wewe, japokuwa nimeona kbc kuna banners and ads za google.
Labda wakushimoni wanatengenezea wavuti-uuaji (killer website)!
Yaani inasikitisha kuona watu wanakula mishahara lakini hawafanyi kazi inayotakiwa
Sasa kuna tofauti gani kati ya
Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC) na
Gazeti la habari za kiswahili la kila siku Tanzania, linaongoza
Tofauti iliyo tunayojuani mwanahci inahusika na
magazeti tu wakati TBC inahusika na
broadcasting. Lakini ukitazama website hizo mbili ni kama TBC nayo ni web site ya gazeti.websiteya TBC haina ladha ya broadcasting kabisa.kuitofautisha na website ya mwananchi.
TBC wake upplease publish clip muhimu katika
video au hata katika
sauti tu. Mfano taarifa za habari, hotuba muhimu, mao au program za kuelimisha zinazopnedwa.
Je inawezekana bandwidth cost ikawa kikwazo hata kwa ?
Je wahusika wa TBC wanajua kuna site ya
www.alexa.com inaweza kuwasaidiakujua position ya site yao . Hii site infanya analysis ya website kujua :-
- How good or bad website inapata trafiic
- Rank ya website kitaifa na kimataifa
-W adau wakubwa wanaoitembelea website ni wa nchi gani wa jinsia gani na wa age group gani ?
According to alexa.com analyisis tbc website ni poor kulinganisha na mwananchi.co.tz
Aibu kweli