I Igauri Kwetu JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 321 Reaction score 72 Nov 27, 2014 #61 Usisahau na binti Zake nao ni mbuzi na kuku,maelezo yake yanaelekeza yeye ni mtu wa namna gani
I Igauri Kwetu JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 321 Reaction score 72 Nov 27, 2014 #62 FirstLady1 said: jamani hata nyie tunawavumilia sana kila binadamu ana mapungufu yake acheni kujishaua hapa , Click to expand... Ni kweli lkn wanaume ni Mzigo wa mavi ya ugonjwa wa amoeba!ukiyaweza umeweza yote
FirstLady1 said: jamani hata nyie tunawavumilia sana kila binadamu ana mapungufu yake acheni kujishaua hapa , Click to expand... Ni kweli lkn wanaume ni Mzigo wa mavi ya ugonjwa wa amoeba!ukiyaweza umeweza yote
F Faraja77 Member Joined Mar 28, 2009 Posts 12 Reaction score 3 Nov 27, 2014 #63 Nawapenda sana wanawake. Ingawa wapo wengine mawenge lakini kwa ujumla nawathamini, nawajali na ninawahitaji sana maishani.
Nawapenda sana wanawake. Ingawa wapo wengine mawenge lakini kwa ujumla nawathamini, nawajali na ninawahitaji sana maishani.
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Nov 27, 2014 #64 Galadudu said: Aaah....na mamaa sura kitabu nae aje awaelimishe wenzie kweli jaman, maana hata hapo napo ni zigo la misumari Click to expand... Nini??!
Galadudu said: Aaah....na mamaa sura kitabu nae aje awaelimishe wenzie kweli jaman, maana hata hapo napo ni zigo la misumari Click to expand... Nini??!
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 61,991 Reaction score 127,477 Nov 28, 2014 #65 Matege said: wana uvumilivu gani??? nasikia leo jf kuwa ni wavumilivu Click to expand... Hata mimi nimeshangaa sana
Matege said: wana uvumilivu gani??? nasikia leo jf kuwa ni wavumilivu Click to expand... Hata mimi nimeshangaa sana
Matege JF-Expert Member Joined Dec 7, 2013 Posts 1,476 Reaction score 648 Nov 28, 2014 #66 Khantwe said: Hata mimi nimeshangaa sana Click to expand... ukipata tatizo wanaambizana jikaze kiume.. ukijikaza kiume ndo unakuaje??? jikaze kike tu mamii
Khantwe said: Hata mimi nimeshangaa sana Click to expand... ukipata tatizo wanaambizana jikaze kiume.. ukijikaza kiume ndo unakuaje??? jikaze kike tu mamii
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 20,074 Reaction score 40,677 Nov 28, 2014 #67 Gololi One said: Nahisi adabu ya kuzaliwa huna hata ya kuiga inakushinda wewe. Click to expand... Wewe adabu unayo mkuu......???
Gololi One said: Nahisi adabu ya kuzaliwa huna hata ya kuiga inakushinda wewe. Click to expand... Wewe adabu unayo mkuu......???
Heri lee JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 981 Reaction score 538 Nov 28, 2014 #68 We unadhani mungu alikua boya aliposema ishini nao kwa akil
JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Dec 8, 2014 Thread starter #69 Wazo Langu said: Nimecheka maana jana wakati naenda kazini lilikua mbele yangu Mandela road. Click to expand... wewe utakuwa jirani yangu kabisa.
Wazo Langu said: Nimecheka maana jana wakati naenda kazini lilikua mbele yangu Mandela road. Click to expand... wewe utakuwa jirani yangu kabisa.