Tuige ya uingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuige ya uingereza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by idumu, Jun 5, 2009.

 1. idumu

  idumu Member

  #1
  Jun 5, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu Watz na Afrika kwa ujumla napenda kusema uvujaji wa pesa za umma ni kitu kibaya na hakitakiwa katika serikali inayotaka maendeleo, Tumeona na kusikia katika vyombo vya habari wenzetu walikula hela na kuvurunda ktk uongozi wanazidi kujihuzulu kila kukicha. Na siku chache zijazo watafikishwa mahakani kujibu mashtaka. Je hapa kwetu viongozi wangapi wamejuhuzulu kwa ridhaa yao na baadae kupelekwa mahakani?? Tujifunze na serikali yetu ipo kwa ajili ya akina nanihiiiiii tu??

  Toa maoni!!
   
 2. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Thubutu! Haitatokea Bongo hata siku moja!

  Nani ajiuzulu? hawa wa kwetu mpaka mtu aandikiwe baru ya kujiuzulu kisha alazimishwe kuisoma.
   
 3. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ni kitu ambacho akiwezekani kwetu under the current political system
   
 4. L

  Limbukeni Senior Member

  #4
  Jun 5, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nivigumu kuiga kujiuzulu maana mavazi ya viongozi wetu yana madoa matupu kwa hiyo kiwango kinakuwa nani ana madoa machache.
   
Loading...