masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
Vile vituo vya tolls vilianzishwa na Cleopa Msuya Waziri wa Fedha wakati huo.Wengi hawajui kuwa zamani kulikuwa na vibanda vya road toll ambayo sasa imehamishiwa kwenye mafuta.
Toll ile ilikuwa kwa uwekezaji wa serikali ambapo Stephen Kibona aliyemrithi mikoba pale Fedha alishauri na kueleweka kuondoa road toll.
Lakini hii mada ni tofauti toll inakusanywa na muwekezaji kurudisha mtaji wake.
Serikali haijaingiza hata senti tano kwenye mradi.