TUICO - TANESCO wawasha upya moto wa dowans

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,231
1,470
Haya tena Tanesco kupitia tuico yao wamesema dowans halipwi centi 5 na artmus waondoke kwa kushindwa kazi mikoa ya kusini

Source tbc
 
<br />
<br />

Umma ukisikia yaliyojificha nyuma ya pazia ndio inakuwa mamlaka yao!

Walikuwa wapi siku zote hadi tumeshamaliza kazi na mamlaka yameshasalimu amri ndo wanajibaraguza. Walikosa pa kutokea ee?
 
Walikuwa wapi siku zote hadi tumeshamaliza kazi na mamlaka yameshasalimu amri ndo wanajibaraguza. Walikosa pa kutokea ee?
<br />
<br />
Walijua rais bado mbabe BM na Net group yake!!!

Wakjua na Jk nae atasema wanaotka dowans wake mstari huu wasio taka dowans wake mstari huu!!! Kumbe lol! We have cool presida
 
TANESCO hatuta lipa NG'OOOOO kwa sababu mchakato wa kuipata dowans ulifanywa na serikali
 
Sijui kama serikali ina nia ya kukwepa kuilipa Dowans maana malipo hayo, ukiondoa bilioni 90 za Mh. RA zilizobaki zote zinatakiwa ili kuamua nani anagombea urais mwaka 2015 kupitia Chama Cha Mafisadi.
Naunga mkono watu wa kada mbalimbali kuendelea kupinga malipo hayo ili tutakapowanyima kura na nafasi ya kuchakachua next election wajue ushauri huu tunaoutoa sasa ulipaswa kufuatwa japo kwa shingo upande.
 
Back
Top Bottom