Tuhuma zangu kwa Lema

Wewe kakado kweli ni mbulula sana, yani mbali na hadithi yako ya kufikirika kama shaban Robert lakin umeshindwa kutumia akili, Sasa wewe ulitaka kwenye uchaguzi wa igunga ulale lodge? Hata mimi ni mwanafunzi kama wewe lakini tulikuwepo pale igunga kule nsimbo rolansimba na nkinga lakin hatukuuliza lodge wala nini na tulikuwa tunalala pamoja na wakina sugu mahali pamoja pasipo wao kulala huko unapopasema alafu we unaleta uzushi wa kijuha.
 

sasa shule ulishamaliza mbona unaandika kama ndio umetoka darasa la kwanza,hivi nyie ndiyo mnategemewa na taifa eti wasomi,tutatokaje hapa?
 
hili ndio tatizo la cdm hasa member wake humu jf.wote walio jibu hakuna hata mmoja mwenye positive mind au tu wa kusema kwa kauli za kiungwana .tatizo nn wana jf tuwe magt hapo kuna upuuz ila pia kuna la kuangalia
List yenu ni Mbowe Slaa,Lema na Nasari masalia aka matunguri ukienda Polisi uniambie nikakuwekee dhamana
 
Hivi nyie wahuni hamkati tamaa tu ya kushindana na ukuta! Ulifungwa kamba kwenda igunga? Kwani Lema haukuwepo igunga? Toa ujinga wako hapa!
 
umeona hata hicho kiswahili alichoandika? Ni utumbo mtupu

Kweli nimeona mkuu kwenye uandishi wa kiswahili siyo mzuri, mwanzoni nilisoma kichwa cha uzi wake tu na baadaye kuanza kupitia majibu ya 'members'; sikuipitia post yake ya kwanza. Sasa nilipoipitia ndiyo nimegundua ulichonijulisha. Sasa wakati naipitia nilipofika kwenye hayo maneno niyopaka rangi ya bluu hapo chini ndiyo hasa nikagundua hasira za muanzisha uzi. Kuna uwezekano mkubwa KAKADO alikuwa anamsumbua sana Mh. Lema kwa njia ya simu kwa 'vibomu' visivyoisha.


 
List yenu ni Mbowe Slaa,Lema na Nasari masalia aka matunguri ukienda Polisi uniambie nikakuwekee dhamana

Kwani huyu ndiyo alie kwapua simu, hakimu nasikia J3 atafuta mdhamana atakoma...hahah
 
kama kweli upo chuo kikuu kama unavyodai kwa sababu mimi siamini kama upo chuo basi elimu yetu kwishnei kwa sababu mtu aliyefika chuo kikuu asingeandika madudu kama ulivyofanya wewe hata kama kiswahili inasumbua namna gani hoja ya mh.lowassa inazidi kupata nguvu kuwa tuangalie mfumo wa elimu yetu inayotolewa kwa sababu inaangalia quantity rather than the quality of it pia uchaguzi wa igunga ilikwisha siku nyingi mbona umepiga kimya muda wote huo kazi tunayowatanzania kama hawa ndio wanaojiita wasomi wetu.
 
that is real happen and i cant talk more on this if you don't satisfy just email me ,the aim of writing this is to make people know and not to make confusion with you people all in all massage sent
Certainly, you are not an English speaker! Why can't you opt for your mother tongue!
 
Lema anakabiliwa na kesi ya kubaka UK
Nasikia Lukosi kahojiwa na polisi UK na kaamua kumwanga mboga
 
Nimewasoma but pray for our nation and Askari wetu kuvunja kila roho za tamaa na uzembe
 
Mfuate umweleze mwenyewe kwani jf sio sehemu ya udaku.ZUZU wewe.Simple minds discuss people great minds discuss ideas.
 

Hao misukule wa CHADEMA unadhani watakubaliana na wewe? sana sana utaambulia matusi na kashfa! Yani hao jamaa kama wamerogwa!
 
Hao misukule wa CHADEMA unadhani watakubaliana na wewe? sana sana utaambulia matusi na kashfa! Yani hao jamaa kama wamerogwa!
Hahahahaha,
Mkuu kweli hawa jamaa ni misukule wao wanakwenda kama misukule tuu ukiwaambia kiongozi wao ana kasoro watakuporomoshea matusi utafikiri wana shehena ya matusi
 
nashukuru wachangiaji kwa kuwa mko makini huyu jamaa ni mtumwa na anachokitumikia hakijui pole zake
 
that is real happen and i cant talk more on this if you don't satisfy just email me ,the aim of writing this is to make people know and not to make confusion with you people all in all massage sent

ha ha ha ha teh teh teh tehteh teh teeeh, kama english ya udsm ndo hii basi hata english ya shule za kata ni nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…