Tuhuma za ufisadi zinazodaiwa kumpelekea Dkt. Ryoba kubwaga manyanga

anakitabu chake hua anatembea nacho mifukoni mwake ,azimio la Arusha .

Ryoba kiboko usimwamini mtu
 
Huenda kweli hahusiki lakini kuna baadhi ya wakubwa hujificha mgongoni kwa wadogo na ndio maana kikisanuka huonekana wao ni wasafi kumbe siyo kweli, wao huwa ndio wenye gawio kubwa zaidi.

Ni maoni yangu tu.
 
Kumbe wakati wa Msimamizi wa malaika wizi ulikuwepo 🤔🤔🤔🤔. Mbona tunaambiwa umeanza baada kifo chake? 1
 
Huenda kweli hahusiki lakini kuna baadhi ya wakubwa hujificha mgongoni kwa wadogo na ndio maana kikisanuka huonekana wao ni wasafi kumbe siyo kweli, wao huwa ndio wenye gawio kubwa zaidi.

Ni maoni yangu tu.
Wenye tabia hizo za kifisadi. Sio Rioba.
 
Huwezi jiuzulu kama ujatafuna mfupa msamiati huo afrika haupo.
Watu wa chini hawawezi piga dili bila boss juu kujua
 
Shida ya TANZANIA fisadi afungwi,atalipa faini kiduchu au jela miaka mbuzi.
 
Tuache uongo ayoub rioba yupo tbc

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwani ukijiudhuru unaondoka tu kama unatoka chooni baada ya kukata google? Si unasubiri mamlaka ya uteuzi ikubali kujiudhuru kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…