adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,796
Akili kubwa , madini ya nguvu sanaView attachment 3514828
My people,
Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako?
Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Halafu
Endapo kuna lockdown sasa hivi ya wiki moja au mbili,wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au sogwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Najua kwa wasio chukua muda kutafakari hawatanielewa kwa mifano hii nataka kueleza nini hapa.
Kabla sijaendelea unashauriwa kama una hasira za karibu au una mihemko ya karibu basi lililo bora kwako ama pita kushoto usisome nyuzi zangu au niignore hutaweza kuniona tena
Kwasababu mabandiko yangu yatawakera sana mpaka mwishoni mwa mwaka,na si kwamba natukana watu au naandika mambo yasiyo na maadili laa,bali natofautiana na wengi wenu kimtazamo
Mifano hapo juu inaonyesha kwamba ama Kiongozi wa serikali kumiliki ile midege au mtoto wa namba one kumiliki matoy kwenye yard yake,, haya mambo hayata kuathiri wewe moja kwa moja ,kwakuwa una amani na uhuru wa kufanya shughuli zako za uchumi na kupata mkate wako wa kila siku
Lakini kama yakatokea machafuko na serikali ikaweka lockdown basi mimi na wewe maisha yetu yatabadilika mara moja,shughuli za uchumi zitasimama,hakuna movement,hakuna kwenda hospitali wala sokoni wala wapi..
Je kati ya viwili hivyo kipi ni cha kupiganiwa zaidi? Na kulindwa kwa wivu mkubwa?
Majibu unayo wewe!
Amani yetu ndio tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana, pinga harakati zote zinazo hatarisha amani ya nchi yetu
Na si kila mwenye kutuletea habari za uzushi na uongo mitandaoni tumkubali moja kwa moja,tujipe nafasi kujua ukweli wa habari hiyo kabla haijazua taharuki na kuleta madhara katika jamii
Tutaelewana mdogo mdogo
Ni hayo tu!
Pole sana mkuuView attachment 3514828

Kuwa Muslim ni mtihani kwa tzJe, ni awamu hii tu ndio haya ya viongozi kumiki mali mbali mbali limekuwa jambo jipya
My point,hayo yote uliyojaribu kugusia hapa yamekuwwepo miaka nenda rudi na sisi kama wananchi pamoja na rushwa,ufisadi na namna zote za uporaji wa rasimali za nchi hii,bado tuliendelea kuwa na amani na kuendelea na maisha yetu pamoja na changamoto Zale
Kwahiyo tusidanganyane hapa ili jambo leo ndio libebe headline
Sasa ishu inakuja hapa,pamoja na yote hayo bado mwananchi wa kawaida aliweza na anaendelea kuendesha maisha yake hivyo hivvyo japo kinyonge.
Lakini amani ikiondoka maisha hayatakuwa kama ambavyo tunayo sasa,huyu maskini wa watu atakosa hata hicho kidogo allichokuwa anapata na kibaya zaidi hata uhakika wa maisha na usalama wake hautakuwepo tena.
Amani ndio tunu yetu tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Hivi wewe una akili hata punje tu? Kwa hiyo kama haya matatizo yalikuwepo kipindi cha nyuma tunapaswa tuyakubali tu? Kwani hizo ndege na gari za kifahari zinanunuliwa kwa mavi yasiyokuwa na thamani? Huoni kwamba hizo fedha zinazotumika kununulia hizo ndege na magari ya kifahari zingeweza kupunguza haya matatizo ya ukosefu wa huduma bora za afya, madarasa bora, miundo mbinu etc? Wewe ni mpumbavu. I official ignore you maana nahangaika na taahiraHizo huduma zimeanza kukosekana hii awamu ya sita pekee??
Nchi ina miaka 64 ya uhuru hukuandamana kudai hizo huduma,leo unajifanya unaziona ni jambo jipya
Hizi changamoto haziondoki kwa siku moja kama unanua mkate dukani
Interesting!!!Je, ni awamu hii tu ndio haya ya viongozi kumiki mali mbali mbali limekuwa jambo jipya
My point,hayo yote uliyojaribu kugusia hapa yamekuwwepo miaka nenda rudi na sisi kama wananchi pamoja na rushwa,ufisadi na namna zote za uporaji wa rasimali za nchi hii,bado tuliendelea kuwa na amani na kuendelea na maisha yetu pamoja na changamoto Zale
Kwahiyo tusidanganyane hapa ili jambo leo ndio libebe headline
Sasa ishu inakuja hapa,pamoja na yote hayo bado mwananchi wa kawaida aliweza na anaendelea kuendesha maisha yake hivyo hivvyo japo kinyonge.
Lakini amani ikiondoka maisha hayatakuwa kama ambavyo tunayo sasa,huyu maskini wa watu atakosa hata hicho kidogo allichokuwa anapata na kibaya zaidi hata uhakika wa maisha na usalama wake hautakuwepo tena.
Amani ndio tunu yetu tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Simaanishi ni halali makosa yaendelee hapanaInteresting!!!
Kwa hivyo kosa likifanywa na mmoja au na wengi toka zamani inakuwa sawa kufanyika hivyo daima na wote wanaofuatia?
Two wrongs doesn't make it right.
Kwa hiyo unashauri tuendelee na makosa miaka yote au siyo?
There must be a beginning of something, and in this case we need to start a corruption free state with Samia's tenure.
Hahah nilitoa angalizo awali huu mchezo hauhitaji hasiraHivi wewe una akili hata punje tu? Kwa hiyo kama haya matatizo yalikuwepo kipindi cha nyuma tunapaswa tuyakubali tu? Kwani hizo ndege na gari za kifahari zinanunuliwa kwa mavi yasiyokuwa na thamani? Huoni kwamba hizo fedha zinazotumika kununulia hizo ndege na magari ya kifahari zingeweza kupunguza haya matatizo ya ukosefu wa huduma bora za afya, madarasa bora, miundo mbinu etc? Wewe ni mpumbavu. I official ignore you maana nahangaika na taahira
Kweli kabisa nimeishia madrassa tuKuwa Muslim ni mtihani kwa tz
wengi wetu tuna elimu ya madrasa tu
Kwani hamkuombwa tusimamishe uchaguzi kwa muda hadi tubadili katiba mkakataa?Simaanishi ni halali makosa yaendelee hapana
Sawa tuanze na Katiba kwanza ndio road map yetu iwawajibishe wahusika
Ume anza ungese kijanaAkili kubwa , madini ya nguvu sana
Hata choo hatutaki kijae huu uchafu
Uharo huu umefakamia mavitu gani!View attachment 3514828
My people,
Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako?
Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Halafu
Endapo kuna lockdown sasa hivi ya wiki moja au mbili,wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au sogwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Najua kwa wasio chukua muda kutafakari hawatanielewa kwa mifano hii nataka kueleza nini hapa.
Kabla sijaendelea unashauriwa kama una hasira za karibu au una mihemko ya karibu basi lililo bora kwako ama pita kushoto usisome nyuzi zangu au niignore hutaweza kuniona tena
Kwasababu mabandiko yangu yatawakera sana mpaka mwishoni mwa mwaka,na si kwamba natukana watu au naandika mambo yasiyo na maadili laa,bali natofautiana na wengi wenu kimtazamo
Mifano hapo juu inaonyesha kwamba ama Kiongozi wa serikali kumiliki ile midege au mtoto wa namba one kumiliki matoy kwenye yard yake,, haya mambo hayata kuathiri wewe moja kwa moja ,kwakuwa una amani na uhuru wa kufanya shughuli zako za uchumi na kupata mkate wako wa kila siku
Lakini kama yakatokea machafuko na serikali ikaweka lockdown basi mimi na wewe maisha yetu yatabadilika mara moja,shughuli za uchumi zitasimama,hakuna movement,hakuna kwenda hospitali wala sokoni wala wapi..
Je kati ya viwili hivyo kipi ni cha kupiganiwa zaidi? Na kulindwa kwa wivu mkubwa?
Majibu unayo wewe!
Amani yetu ndio tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana, pinga harakati zote zinazo hatarisha amani ya nchi yetu
Na si kila mwenye kutuletea habari za uzushi na uongo mitandaoni tumkubali moja kwa moja,tujipe nafasi kujua ukweli wa habari hiyo kabla haijazua taharuki na kuleta madhara katika jamii
Tutaelewana mdogo mdogo
Ni hayo tu!
Hata General katika vita ana retreat akiona amezidiwa ili kuokoa uhai wa wanajeshi na haendi vitani bila kufanya assessment ya uwezo wa mpinzani , uwezo wake na nyezo muhimu za vita kama silaha , idadi ya kikosi na chakula .Ume anza ungese kijana
Hata General katika vita ana retreat akiona amezidiwa ili kuokoa uhai wa wanajeshi na haendi vitani bila kufanya assessment ya uwezo wa mpinzani , uwezo wake na nyezo muhimu za vita kama silaha , idadi ya kikosi na chakula .
Mimi ni mhanga mkubwa wa serikali na sipendezwi nayo ila siwezi kuSuggest watu watoke front kizembe wakauwawe mwisho wa picha hakuna mabadiliko yeyote . Siwezi kusapoti njia ambayo ina risk kubwa ya kuondoka na maelfu ya watu na kusababisha hasara kubwa bila matokeo chanya.
Mimi naunga na MALCOM LUMUMBA na Kiranga ambao waliwahi kusema mabadiliko sio njia ya shortcut .
View attachment 3514828
My people,
Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako?
Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Halafu
Endapo kuna lockdown sasa hivi ya wiki moja au mbili,wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au sogwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki
Najua kwa wasio chukua muda kutafakari hawatanielewa kwa mifano hii nataka kueleza nini hapa.
Kabla sijaendelea unashauriwa kama una hasira za karibu au una mihemko ya karibu basi lililo bora kwako ama pita kushoto usisome nyuzi zangu au niignore hutaweza kuniona tena
Kwasababu mabandiko yangu yatawakera sana mpaka mwishoni mwa mwaka,na si kwamba natukana watu au naandika mambo yasiyo na maadili laa,bali natofautiana na wengi wenu kimtazamo
Mifano hapo juu inaonyesha kwamba ama Kiongozi wa serikali kumiliki ile midege au mtoto wa namba one kumiliki matoy kwenye yard yake,, haya mambo hayata kuathiri wewe moja kwa moja ,kwakuwa una amani na uhuru wa kufanya shughuli zako za uchumi na kupata mkate wako wa kila siku
Lakini kama yakatokea machafuko na serikali ikaweka lockdown basi mimi na wewe maisha yetu yatabadilika mara moja,shughuli za uchumi zitasimama,hakuna movement,hakuna kwenda hospitali wala sokoni wala wapi..
Je kati ya viwili hivyo kipi ni cha kupiganiwa zaidi? Na kulindwa kwa wivu mkubwa?
Majibu unayo wewe!
Amani yetu ndio tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana, pinga harakati zote zinazo hatarisha amani ya nchi yetu
Na si kila mwenye kutuletea habari za uzushi na uongo mitandaoni tumkubali moja kwa moja,tujipe nafasi kujua ukweli wa habari hiyo kabla haijazua taharuki na kuleta madhara katika jamii
Tutaelewana mdogo mdogo
Ni hayo tu!
na utekaj pia watu wamelishwa , haupo ? watu kama ww ndo wavunja aman ya taifa na sio kigogoHao diaspora ni kundi la wajinga ndo wamekuwa wakisema GEN Z waandamane na kuwarisha taarifa fake .