Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
Wahindi wanaomiliki kiwanda cha kutengeneza nguo cha Sunflag kilichopo Njiro jijini Arusha, kilichoungua moto hapo jana ,katika ghala mojawapo la kuhifadhia malighafi mbalimbali, wanadaiwa kukichoma kwa maksudi ili kulipwa fidia na bima kutokana na malighafi yenye thamani kubwa iliyohifadhiwa katika ghala hilo kupitwa na muda wa matumizi.