Mheshimiwa Oluoch, dah pole sana kwa shuguli huko Philipines (ufilipino) ulikokuwa umekwenda kwa mwamvuli wa NHIF, tunaamini umetua jana airpot Dsm, na kwa kuwa ulipokuwa huko huenda ulikuwa bize kiasi kwamba hukuweza kujibu tuhuma dhidi yako sasa jiau tuhuma zinazokuhusu maana eti unalalamika kwamba hackers wameingia face book yako hyo si kweli, ndg yangu. ni kwamba umetambua kwamba uliyokuwa unayaandika kujikweza sasa wenye akili wameelewa na wametafsir tofauti na matarajio yako, sasa thibitisha kwamba wewe sio think tank wa chama