nilikua mkoa fulani2012 tulianza na amsha amsha namna ya kujitoa CWT ndo wakatangaza ule mgomo ule maana tuli influence baadhi ya mikoa tujitoe chamani but CWT hamna kitu wapo kimaslahi zaidi
km wapo kihuduma watangaze mgomo this year tuone[/QUOTE
Waalimu ni watu waoga as if hivyo vyeti sio vyao! Mkumkuta h'master anamkoromea mwalim wa bachelor hutoamin kamwe!! Wanatishiwa na kila mtu Nchi hii. Waalim amken, hakuna wa kuwasemea kamwe!