Tuheshimu hisia zetu tuache Unafiki!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,662
Reaction score
7,834
Unapokuwa una hisia na kufanya jambo fulani kama unataka kucheka we cheka Tu,ukitaka kulia we lia usiangalie fulani atanionaje mimi nikifanya haya..kiafya huwa inasaidaia sana!
 
Kuna mazingira mkuu, sehem nyingine utaonekana kituko. Kucheka msibani au kanisani
 
Unatakiwa ubakize na za badae sio kila sehemu ya kucheka au kulia
 
Hapo ndio mnapokosea,mwili unataka kucheka wewe umenuna huoni unasababisha msuguano!
 
kama umebanwa na haja wewe itoe tu..
imekaaje hii wadau?
 
Ni sawa mkuu usemavyo, ila inategemea na mazingira..Tujifunze kudhibiti hisia zetu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…