Iko hivi...
Wenye magari wengi tunapopeleka magari hayo kwa waosha magari (Carwash)!
Haina maana sheria za usalama barabarani zinakoma ukiwa eneo la Carwash!
Sheria inampa mamlaka traffic kuingia hata Carwash kukamata magari yanayosogezwa na waosha magari wasio na leseni ya udereva!
Tufahamu kwamba maombi ya kazi ya kuosha magari (Carwash) hayahitaji leseni wala Curriculum Vitae ya Maandishi (CV), Cha zaidi sana muombaji kazi hubeba kitauro begani au Tambala tu kama CV!
Mbali na kuendesha, Mtu ambaye hana leseni ya udereva hatakiwi kabisa hata kukaa siti ya dereva kama tahadhari!
Hivyo tunapowaachia vijana kusogeza magari kosa au janga lolote likitokea tufahamu kuwa bima haiwezi kukulipa wala Mwenye Carwash hawajibishwi kulipa uharibifu wa aina yoyote!
NB; Kwenye Carwash zenye winchi au mahandaki Janga lolote la Winchi ya kunyanyulia magari ikifeli na kuua muosha gari, Gari lako linatakiwa kushikiliwa kwa mda usiojulikana kwa kosa la Mauaji wakati upelelezi ukiendelea!
GARI SIYO NGUO KWA DOBI, TUSIJISAHAU SANA!
Mfano;

KATIKA KUSOGEZA GARI IKATOKEA YULE KIJANA WA CARWASH AKAGONGA MAGARI MENGINE NANI ATALIPA? AU IKITOKEA GARI AKALIANGUSHA AU KUGONGA UKUTA NANI ATALIPA?expand...