Gashongoile
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 487
- 145
Mi pia nawashangaa sana hao wanaojiita waajiri, na wanaotaka kuambiwa mishahara ya waliowaajiri. Hivi inakuwaje unamwajiri mtumishi halafu unasubiri mtu mwingine akwambie mshahara wake. Kama mnajiita waajiri (ambayo ni kweli kwa namna moja ama nyingine), si mlipaswa kutamka kiasi gani atalipwa huyo mwajiriwa. Kwani hao vilaza mnaowapeleka bungeni si ndio wanaopitisha hiyo mishahara. Kwani wao si wanaipitisha kwa niaba yenu. Basi kwa hoja zenu maana yake wanaopaswa kuujua mshahara wa Rais na pm ni wale tu waliompigia kura maana hao ndio waliomwajiri. Karibuni na mitusi yenu, maana najua mishipa ya Shingo itawasimama na mapovu yatawatoka
mshangao mkubwa! kama jk kaajiriwa na hadhara, mshahara anapangiwa na nani. kawaida mwajiri ndo anayepanga mshahara wa mwajiriwa. sasa mnaposema wananchi ndo wamemwajiri jk, vipi wasimpangie kiwango cha mshahara wake?TUGHE watofautishe kati ya waajiriwa katika sekta ya umma na sekta binafsi, na wanasiasa ambao ni waajiriwa wa wananchi. TUGHE wangekuwa na malamka ya kumshitaki Zitto kama angekuwa ametaja hadharani mishahara ya watumishi katika sekta ya umma au binafsi, lakini sio kundi la wanasiasa ambao ni waajioriwa wa wananchi.

Watu wengine wanaudhi kweli; Rais aliomba ajira serikalini lini?
Wananchi ndo waliomwajiri Kikwete na wana haki ya kujua mshahara wake. Huna haja ya kumuita mtu mburula; jenga hoja usijeonekana mburula!yaani mburula kama wewe umwajiri Rais? kichekesho sana. biniriafsi namlaumu sana ZITTO kwaoja move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.
Mi na jua huyu ni mwanamke na kama ni mwanaume basi cyo Ridhiki.
Mnahangaika na watu
wa lumumba wasiojielewa.kama chabruma ni id ya Jakaya sitashangaa sana
kufanya vile kwa kujitetea kwenye hilo li kitumbua lake(japo kiukweli si
vyema).ila kama ni mlalahoi kama walivyo wabongo wengi basi atakuwa
amevurugwa vibaya sana.
mleta mada umevurugwa asubuhi asubuhi nn acha pombe za asubuhi ni mbaya sana