masikini nimesikitika, yani tuna safari ndefu kufika tunapopataka halafu tunataka maendeleo na mabadiliko kwa fikra za namna hii tutafika kweli. nimeumia jamani.
kwani wananchi wote ndo wamemwajiri Rais? Ni wale tu waliopiga kura na kumchagua JK ndo wanapaswa kujua mshahara wake na si wananchi wote. yaani hata machadema nanyi mnajiita ni mwajiri wa JK?
Umeona eh, japo umechelewa kusikitika lakini mradi umeng'amua hilo ni hatua kadhaa tu mbele huku wengine wakipiga hatua nyingi nyuma kama huyu Chabruma, hebu angalia avatar yake kwanza!masikini nimesikitika, yani tuna safari ndefu kufika tunapopataka halafu tunataka maendeleo na mabadiliko kwa fikra za namna hii tutafika kweli. nimeumia jamani.
Mkuu, Rais ameajiriwa au hajaajiriwa?, kama ameajiriwa, ameajiriwa na nani?yaani mburula kama wewe umwajiri Rais? kichekesho sana. binafsi namlaumu sana ZITTO kwa move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.
Wezi wote hawataki mabosi wao wajue wanaiba wanakujaga kazini hata na mashati yenye viraka na ndala zilizochanika lakini mwisho wa wiki ni ndani ya tinted na viwalo vya bei mbaya; Hilo ni tangazo tosha kwamba nchi imeporwa na wezi wanatunga sheria za kulinda wizi wa mali ya bosi - ni kama ameshakufa vileRais aliomba kazi ya kutuongoza, nasi tulimpa kwa njia ya kura. Rais naye amewateua Mawaziri na Vigogo wengine ili wamsaidie kutuongoza vizuri. Sasa inakuwaje dhambi/siri kwa Mwajiri kutaka kujua mishahara wanayojipangia bila sisi wenye nchi kuhusishwa? Haiingii akilini hata siku moja kwa Mwajiri kutojua mshahara wa mtumishi wake aliyemwajiri, vinginevyo utakuwa Mwajiri fake!
yaani mburula kama wewe umwajiri Rais? kichekesho sana. binafsi namlaumu sana ZITTO kwa move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.
Nilisoma hapa juzi, mishahara ya maraisi kama Obama wa USA, Kenyata, Msumbiji, Uingereza, China na nyingine nyingi hata nchi inayoitwa ya kidikteta Zimbabwe yote imewekwa wazi.
Swali ninalojiuliza ni kama hao walioiweka hiyo mishahara wazi nao walisitahili kushikiwa kama TUGHE wanavyotaka iwe kwa Mh. Zitto.
Ndio maana nchi hii haitakaa iendelee na aina ya watu wanaoitawala kwa sasa, kwa nini mshahara uwe siri wakati umeutolea jasho. ....nikijijibu hapa ni kuwa usiri huu ni kwa sababu (mfano) waziri mkuu kwa hakika hasitahili 24m ukilinganisha na anachoifanyia nchi hii kama ilivyo kwa mwalimu anaye shape mustakabali wa taifa hili asivyostahili 250,000/-!
masikini nimesikitika, yani tuna safari ndefu kufika tunapopataka halafu tunataka maendeleo na mabadiliko kwa fikra za namna hii tutafika kweli. nimeumia jamani.
Mkuu utauliza maswali mengi na hutajibiwa, kukurahisishia hebu tafuta report ya Prof. Wangwe inayoeleza ni nani wanamuunga mkono mkulu!Mkuu, Rais ameajiriwa au hajaajiriwa?, kama ameajiriwa, ameajiriwa na nani?
TUGHE imetaka Zitto ashtakiwe kwa kutamka mshahara wa rais na waziri mkuu hadharani.
Nilipokuwa nasoma hizi habari Zitto akiropoka kujitafutia umaarufu zaidi ya alionao nilishangaa sana.
Nitaitafuta mkuu, lakini unaweza kunipa hints kidogo kama hautajali.Mkuu utauliza maswali mengi na hutajibiwa, kukurahisishia hebu tafuta report ya Prof. Wangwe inayoeleza ni nani wanamuunga mkono mkulu!
kwani wananchi wote ndo wamemwajiri Rais? Ni wale tu waliopiga kura na kumchagua JK ndo wanapaswa kujua mshahara wake na si wananchi wote. yaani hata machadema nanyi mnajiita ni mwajiri wa JK?
Sheria ipi hiyo aliyovunja?, kifungu gani?, kanuni ipi ya adhabu?Zito kavunja sheria za nchi. Kama kuna sheria inamlinda basi aiseme kilichomtuma kufanya hivyo.
Wapuuzi wa maisha hao.... Ndio jamaa huwa wanawadharauCHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya Nchini (TUGHE) kimetaka Zitto ashtakiwe kwa kutamka mshahara wa Rais na Waziri Mkuu hadharani.
we umemwajiri kivipi?
Naona mpango wa makamba unafanya kazi. Mmenunuliwa simu mje kutoa hoja au kutetea ujinga? Toa hoja itakayowafanya watu wakubaliane na wewe sio kuleta masikhara.