TUGHE imetaka Zitto ashtakiwe kwa kutamka mshahara wa rais na waziri mkuu hadharani.
Nilipokuwa nasoma hizi habari Zitto akiropoka kujitafutia umaarufu zaidi ya alionao nilishangaa sana.
mkuu kwahiyo kwa upeo wako rais kaajiriwa na mungu?kumbe bado tuna safari ndefu.yaani mburula kama wewe umwajiri Rais? kichekesho sana. binafsi namlaumu sana ZITTO kwa move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.
kwani wananchi wote ndo wamemwajiri Rais? Ni wale tu waliopiga kura na kumchagua JK ndo wanapaswa kujua mshahara wake na si wananchi wote. yaani hata machadema nanyi mnajiita ni mwajiri wa JK?
mkuu kwahiyo kwa upeo wako rais kaajiriwa na mungu?kumbe bado tuna safari ndefu.
Kati ya mburula wote wewe kiranja wao!nyambafyaani mburula kama wewe umwajiri Rais? kichekesho sana. binafsi namlaumu sana ZITTO kwa move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.
Kwa yeye ni rais wa waliompigia kura au raisi wa Tanzania..??? If this is the kind of arguments you have, nina mashaka na U-great Thinker wako....kwani wananchi wote ndo wamemwajiri Rais? Ni wale tu waliopiga kura na kumchagua JK ndo wanapaswa kujua mshahara wake na si wananchi wote. yaani hata machadema nanyi mnajiita ni mwajiri wa JK?
Hivi unafahamu kuwa rais kaajiliwa hadi na wale wa milembe..??? Kwa nini aweke madaktari pale..??? Kwa nini awajengee hospitali ilee..??? Kwa nini watu wasome jinsi ya kuwatibu wale wa milembe...????yaani mburula kama wewe umwajiri Rais? kichekesho sana. binafsi namlaumu sana ZITTO kwa move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.
yaani mburula kama wewe umwajiri rais? Kichekesho sana. .
we umemwajiri kivipi?
TUGHE imetaka Zitto ashtakiwe kwa kutamka mshahara wa rais na waziri mkuu hadharani.
Nilipokuwa nasoma hizi habari Zitto akiropoka kujitafutia umaarufu zaidi ya alionao nilishangaa sana.
kwani wananchi wote ndo wamemwajiri Rais? Ni wale tu waliopiga kura na kumchagua JK ndo wanapaswa kujua mshahara wake na si wananchi wote. yaani hata machadema nanyi mnajiita ni mwajiri wa JK?
kwani wananchi wote ndo wamemwajiri Rais? Ni wale tu waliopiga kura na kumchagua JK ndo wanapaswa kujua mshahara wake na si wananchi wote. yaani hata machadema nanyi mnajiita ni mwajiri wa JK?
Nilisoma hapa juzi, mishahara ya maraisi kama Obama wa USA, Kenyata, Msumbiji, Uingereza, China na nyingine nyingi hata nchi inayoitwa ya kidikteta Zimbabwe yote imewekwa wazi.Hivi, mwajili wako kujuwa mshahara wako ni dhambi..??? Kama wewe umeamua muajili wako awe hadhara, basi hadhara lazima ijuwe mshahara wako.....
NB: Raisi kaajiliwa na hadhara