Tugawane Samaki....

Tugawane Samaki....

Mm napemda kipande cha tumbo hakina nyama lakini ni kitamu kupita zote

Wewe mtu wa pili nakusikia unasema hivi, itabidi nikila samaki niwe makini hiyo sehemu ya tumbo nione hio utamu wake.
 
Wewe mtu wa pili nakusikia unasema hivi, itabidi nikila samaki niwe makini hiyo sehemu ya tumbo nione hio utamu wake.
Ukila sehemu hiyo utataka tena kichwa wala mkia
Si unajua mazagazaga yote yapo pale
 
Huo mstari wa mwisho huo...! Hii kauli utaifuta baada ya kuuonja MCHELE NA MAPISHI YA KILOMBERO!

Aamaa, kwani wewe uko kahama au Kilombero? Mchele wa Ifakara nilishauonja mtamujee.
 
Mwitange mshana Ekuinge

Kana Wethimkundie....???

Mila weethimkumdie

Ndhooki Ena Boma langu Mie Nekuinga

Haiyee univwira, kokoo ako akuinga notsi unipe. Nkija kwa boma lako univoa weeh hahahahah.
Ila kwakuwa kokoo ako atakuwepo naja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom