Ambun wethiman'jeHehehehehe nethinman' je
Kasema KICHWA. Mi napenda MKIA.kichwa
Hata kidogo!Kasema KICHWA. Mi napenda MKIA.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Duuh kuja nataka kulowea naogopa.... ila naamini nna nguvu za kuhamisha mlima hivyo naweza rudi na msukuma wa Kahama huku kwetu huko tukawa tunarudi likizo. ...😉
asanteee!Safi furahia utamu wa kichwa...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wenye uzi wao watachukia! Usiogope KULOWEA. Kaburu kalowea SA. Mtumwa kalowea America. Muhindi kalowea Upanga na Kariakoo.
Nikuletee lini kichwa ili ujipimie?Ndo ugonjwa wangu huo mie nipe kichwa tuu basi mkia wote utaupeleka utakavyo, napendaga ile ya kujipimia kwa starehe zangu hehehehe
Huo mstari wa mwisho huo...! Hii kauli utaifuta baada ya kuuonja MCHELE NA MAPISHI YA KILOMBERO!Hahahahaa mie ndo steringi mwenyewe hapa hakuna wa kuchukia.
Pamoja na woga lazima nije maana mchele wa Kahama mtamu balaa, mapishi yake sasa.... Kasie hoiii
Wa mbeya mtamu zaidi hasa ukikipata na sehemu ya tumbo pale chiniHuo mstari wa mwisho huo...! Hii kauli utaifuta baada ya kuuonja MCHELE NA MAPISHI YA KILOMBERO!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wa mbeya mtamu zaidi hasa ukikipata na sehemu ya tumbo pale chini
Nienda Ulughe MbuGhai Wa IbadaIyeeeh
Usihofu ni samaki eneo la tumbo kwa wali wa mbeya[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]