Tugawane Samaki....

Tugawane Samaki....

Napenda Kichwa...[emoji9]

Umechagua fungu jema, kichwa kitamu achaa, ukipate cha kuchoma ama cha kuoka kwa mvuke ama cha kuchemsha chukuchuku ama cha kukaanga weeh utajikuta tuu mkia hautulii heheheheh
 
Hahahahahhaa umenikumbusha safari flani nilienda Kahama aiseeh wasukuma wa pale wakarimu hadi rahaa. Ntarudipo tena Kahama
Basi hapo cha mtoto. Njoo huku KIVUKONI, IFAKARA ujionee! Hutajutia safari yako!
 
Basi hapo cha mtoto. Njoo huku KIVUKONI, IFAKARA ujionee! Hutajutia safari yako!
Nikirudi huko ntakutafuta ila kivuko sipandi naogopa kuzama heheheh
 
Usikose! Si kwa samaki VITOGA, NJUJU hawa na wali! Nitakubebesha na TAKEAWAY!

Hapo kwenye take away hapo itabidi nitafute mkonga na dereva, mie nakuja na fastjet via mwanza dereva akatize boda spesheli kwa ajili ya take away.
Hapo kwenye samaki napenda sana, yaani unazidi kuniongezea ashiki ya kuja huko. Jiandae kupokea mgeni matata Kasie.
 
Huku tukimsindikiza mgeni STAND, msindikizaji harudi home pekeake. Anatakiwa abaki hapo hapo STAND mpk ampokee mgeni Mwingine wa kuja nae home. Na mgeni haruhusiwi kuondoka bila TAKEAWAY!
 
Huku tukimsindikiza mgeni STAND, msindikizaji harudi home pekeake. Anatakiwa abaki hapo hapo STAND mpk ampokee mgeni Mwingine wa kuja nae home. Na mgeni haruhusiwi kuondoka bila TAKEAWAY!

Ooh wabheja sana ngosha, nimejikuta nakolomba kolomba tuu. Nna wasiwasi nikija huko ntalowea....
 
Umechagua fungi jema, kichwa kitamu achaa, ukipate cha kuchoma ama cha kuoka kwa mvuke ama cha kuchemsha chukuchuku ama cha kukaanga weeh utajikuta tuu mkia hautulii heheheheh
Kasinde balaa ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom