Nasikia eti huyu tajiri namba moja kamwaga miela zaidi ya shilling billion 700 sasa hapo ndipo kwenye point tafadharini niko chini ya miguu yenu muifiche hii siri kuwa sisi tukipiwe hela tunalamba tu hatujali ni za nini wala za kazi gani na zile ishu za rambi rambi ndio mkae kimya kabisa maombi yangu nu hayo tu wakuu
Basi hautapokelewa Zimbabwe km haujawahi kukuBEN SAA9....Naishi chini ya $ mbili kwa siku, sitakuwa na 5mln ya kunitoa, sichangii zaidi ya hapa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamii Forums mobile app