Kama ni kuharibika mbona hiyo toka zamani..??? Ubakumbuka enzi za kuvaa majani usawa wa uzazi tuu na kwa nyuma....?? Tena kwa wanawake matiti yalikuwa yanaachwa nje, sembuse hawa wameyafunika...!!!???![]()
Hivi hii ni sawa? masuala ya kimagharibi yanazidi kutuaribia kizazi chetu, tufanyeje kukomesha hali hii,