Tufanyeje ili tuwatoe hawa CCM

Tatizo ni kwamba wananchi wengi hawajui nini maana ya kupiga kura !..ndio maana ni rahisi kudanganywa na khanga, pombe ya kienyeji nk.
 
itatufaa wengine kuifia nchi kwa faida ya vizazi vyetu...lakini wa kumfunga paka kengele?
sisi sote tunaongelea vichochoroni tu, siku tuamue hakuna cha nini wala nani, ni kuandamana tena maandamano ya uvunjifu wa amani dhidi ya hao wezi wa mali za umma, lakini tukijadiliana hapa JF hakuna njia nyingine zaidi ya kulazimisha haki, ni lazima mbegu moja ife na kuoza ili kutoa nyingine bora, ni nani aliye tayari kujitoa kwa ajili ya wengine? ni nani anayechukia ufisadi harafu akawa mwoga wa kukemea? ni nani aichukiaye harufu ya kinyesi harafu akakichukua na kukiweka mfukoni? WATANZANIA TUACHE UNAFKI. kama tumeridhika na ujangiri tunaofanyiwa na serikali ya CCM na tunyamaze kimya
 
i think is to late
if u cant them join them
 
Mama Mia alikuwa anawaza hivi....


Lakini upele amesema....


naona watanzania tunazidi kumaliziwa nyetu mara madini au rasilimali zote ziishe nimepata nyeti kuwa hao wote wana mijihela kibao nje

Kweli tumetofautiana kimtazamo.,hapa nimeamini kuwa mnaweza mkaangalia kiyu kimoja lakini kila mtu akaona picha yake tofauti.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…