Tufanye mazoezi na kuzingatia lishe bora

Google Diggers

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
944
Reaction score
1,149
Mambo yanabadilika sana. Nipo kwenye daladala tukiwa na wazee wenzangu makamo ya 55 and above.

Ni ishara ya wazi kwamba muda huu wao na mimi tunawahi kujishughulisha, lakini ni dalili pia kwamba kama hutawahi kurejea majumbani ni vigumu kupata muda wa mazoezi.

Kwa umri huu ndugu zanguni sio fair tujitahidi tupate muda wa vijimazoezi.
 
Mazoezi ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom