Tufanye kazi sisi wenyewe ili tusonge mbele

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,703
•Waafrika ni lazima wasimamie hatma yao wenyewe, tunatakiwa kufanya kazi wenyewe na kusonga mbele. Lakini tunaweza kufanya vizuri kama tuna maarifa, ustadi na uwezo. Kusisitiza unasimamia wakati hauna uwezo wa kufanya maamuzi haina maana yoyote kwa taifa•

Hayati Mkapa
 
Sasa kazi wanapeana kwa kujuana lengo waendeleze familia siyo taifa tena
 
Embu acheni kuandika upuuzi na kutia vijana hasira. Yaani nyie mnawapa watoto wenu na wajukuu wenu vitengo nyeti serikalini na kazi zote nzuri alafu kazi tu kusema fanyeni kazi fanyeni kazi hizo kazi zipo wapi watu wakafanye?
 
Back
Top Bottom