Tufanye jee kurudisha hadhi ya kiume?

WANAUME mbona tupo sana tu!Masharobaro ndo zao hizo!
 
ukubwa wa pua si wingi wa makamasi na ukubwa wa mat..ko si wingi wa mavi.mambo yote tembe bwana hakuna kingine zote hizo blah blha!!
 
Nitake radhi belinda mi sio bonge na katika vitu ambavyo navipinga ni ubwanyenye,hivi ukimwona mtu mtaani bonyebonye unajua shughuli haiwezi na usikubali stor za kuambiwa embu tafuta kibongee mmoja piga nae game alafu uje unipe ripoti
Nawaona wengi mitaani walivyo bonye bonye pia storiz na watu wa karibu walioolewa..inaelekea na wewe ni mmoja ya wanaume mibonge, hebu zingatia afya na shughuli uiweze ili mamsapu akufurahie uaname wako.
 
hakuna mwanaume aneyefurahi kutomrdhisha mwandani wake...
Cha msingi kwa wanaume,be care na ua daily routin...dont lyk chips na unasema umekula bal inakula kwako taratibu...too much alcohol ni poison also physical fitness is rquired(mwil mkubwa co physical ftness).
Kabla ya mchezo mak sure uko tayar kufanya hvyo....then muandaye 4 long as u can...cha msingi ni mawasiliano wakat wa tendo...na ujtambue.
Ni hayo wana JF.
 
Nitake radhi belinda mi sio bonge na katika vitu ambavyo navipinga ni ubwanyenye,hivi ukimwona mtu mtaani bonyebonye unajua shughuli haiwezi na usikubali stor za kuambiwa embu tafuta kibongee mmoja piga nae game alafu uje unipe ripoti

Kumradhi mkuu J 20A. Kumbe wewe umejengeka eeh?! hakikisha huwi bwanyenye!
Nitatafuta bonge bonge halafu nikupatie ripoti..siyo leo wala kesho lakini.
 
Nitazingatia hilo ili wifi yako aendelee kupata burudani,mbona unasema sio leo wala kesho iyo ripot si itachelewa sana
Kumradhi mkuu J 20A. Kumbe wewe umejengeka eeh?! hakikisha huwi bwanyenye!
Nitatafuta bonge bonge halafu nikupatie ripoti..siyo leo wala kesho lakini.
 
Tuache kushindia urojo, mbogamboga na mikate, na kunywa bia zisizo na idadi
 
Nitazingatia hilo ili wifi yako aendelee kupata burudani,mbona unasema sio leo wala kesho iyo ripot si itachelewa sana

Maisha yenyewe haya muhimu kuwa mwangalifu mpaka nimpate, tuchunguzane na kuduu si chini ya miezi kadhaa. Ila ripoti utapata, uwe mvumilivu tu!
 
Well kama una mme wa hivo uliyataka mwenyewe.
Lazima ulipo kutana nae ulijua anafanya yote hayo.
It's worse kama kayaanza mkiwa wote maana wewe ndo utakua sababu.

So,it always start with you ladies.
Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake,....(kwenye nyumba weka mme)
na mwanamke mpumbavu huivunja mwenyewe.
 
Wanaume bana!! Kila siku mnatupigia kelele mkijisifu na hiyo supu ya pweza, au na yenyewe ishakuwa sugu mwishowe??

Kipipi tutake radhi wengine hatutumii hiyo misupu na bakora kawa kawa 5 times lol
 
Unaogopa nini binti vitendea kazi si vipo bana,iyo ya kukaa miezi kadhaa bila ku duu kama ni mimi ingenishinda vinginevyo labda nipewe ahadi kabisa kwamba mzigo upo kwenye box haujawahi kufunguliwa naweza nikawa na subira kwasababu albamu nitazindua mimi
Maisha yenyewe haya muhimu kuwa mwangalifu mpaka nimpate, tuchunguzane na kuduu si chini ya miezi kadhaa. Ila ripoti utapata, uwe mvumilivu tu!
 
Pia epuka uvutaji wa sigara pamoja na ulevi wa pombe
 
Reactions: Nzi

Jamani hata mambo ya kitambi yanahitaji hekima ya mke, ina maana wewe mwanaume hujui baya na zuri lipi?!

Btw, nimesema hapo juu bwanyenye hataweza kukaa kwenye mji wetu mana atakula zoezi/gym na kuzingatia diet yanguvu home.
Sijampata huyo mume ila hawezi kuwa bonge bonge hivyo..

Nimekosa cha kusema mana umenichekesha. Uwepo wa vitendea kazi siyo issue, magonjwa na usanii umejaa siku hizi. Ni vyema kuwa mwangalifu hata kama ina raha yake vipi. Kwa awamu hii ya Jakaya mzigo umeshafunguliwa) ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…