Tufahamiane zaidi kwa kujuana miaka umri wetu

Ili iwe rahisi kuheshimiana zaidi maana hapa jf nidhamu hamna kabisa,unaweza ukatukanana na baba mtu mzima au Babu yako.kwa hivyo napendekeza tujibu hili swali Ni kwa Nia Njema na Ni kwa hisani ya upendo TU kwa ajili ya wanajf.
Chagua jibu sahihi
1.umri wako unaangukia katika kundi gani?
A:miaka 18-22
B:miaka 23-27
C:miaka 28-33
D:miaka 34-40
E:miaka 40-55
F:miaka 56-na kuendelea
Nikianza na Mimi mwenyewe kundi langu Ni "B"
D

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F, ila nadhani ungeendelea kuweka herufi za makundi, ningeweza kuwa hata H, yaani kundi langu lingezivuka herifi za F na G,
 
Back
Top Bottom