Tufahamiane zaidi kwa kujuana miaka umri wetu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,718
2,000
Ili iwe rahisi kuheshimiana zaidi maana hapa jf nidhamu hamna kabisa,unaweza ukatukanana na baba mtu mzima au Babu yako.kwa hivyo napendekeza tujibu hili swali Ni kwa Nia Njema na Ni kwa hisani ya upendo TU kwa ajili ya wanajf.
Chagua jibu sahihi
1.umri wako unaangukia katika kundi gani?
A:miaka 18-22
B:miaka 23-27
C:miaka 28-33
D:miaka 34-40
E:miaka 40-55
F:miaka 56-na kuendelea
Nikianza na Mimi mwenyewe kundi langu Ni "B"
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,718
2,000
Utakuwa una maajabu Sana na una mengi ya kuniachia Babu mkubwa.shikamoo kwanza Nathamini Sana michango yako unajua Sana kusikia kila mtu.napenda watu wanaoelewa Mambo kwa haraka Kama wewe.hardtalk na nokia83 mnitag.big up Nokia 83
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom