donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Morning,
Nimefatilia threads mbalimbali humu chit chat, yaan ni kama kulifanyika scrumble and partition. Kila mtu na koloni lake aisee, watu wamefanya effective occupation. Wengine kama Mswati yaani kwa wingi wa makoloni yao, utasikia tu mdada kaanzisha nyuzi anajitangaza yeye ni mke wa fulani ilimradi tu burudani ndani ya chit chat. Forget the title of the thread, what I mean ni tufahamiane ambao bado tuko Misri bado hatujaiona nchi ya ahadi. Kuna kipindi niliweka effort kidogo nikawa nimeshavuka bahari ya shamu ila Faraoh mmoja akanizidi kete na kunirudisha Misri. Tupeane mbinu jamani, maombi nshatuma kwa wenyeviti ila nahisi sijui wanataka mrungula? Maana sielewi ujue?? Tunawekwa pending tu, ni kama vifaranga vya kuku kila siku vinadanganywa vitanyonya kesho kumbe maziwa hamna. Haya haya, ambao wako tayari kufanya Coup d' etat tuungane kufanya mapinduzi ili pasi shaka nasi tujitwalie makoloni.
Just humour though, niwatakie siku njema.
Vibisa oyeeeeee....!!!