Tuendelee kuiamini M4C

kipuri

Senior Member
Jan 27, 2012
155
27
Tumushuhudia yaliyotokea pale Morogoro kwenye maandamano ya CHADEMA, ambapo mtu mmoja alifariki kwenye purukushani na polisi.

Cha kushangaza ni kuwa pamoja na kutokea mauaji na chanzo kikiwa ni wao kutotii maagizo waliyopewa na jeshi la polisi, kesho yake wakataka kuendelea na mikutano yao ya M4C Iringa, kabla ya kuzuiwa na polisi

Kulikuwa na haja gani ya kuendelea na mikutano yao wakati wamesababisha mauaji? Hii inadhihirisha kuwa hawa jamaa hawana utu ndani yao

Nawasihi Watanzania tuendelee kuwakataa hawa watu popote watakapoofika kutuletea propaganda zao
 
Kumbe ndio lengo lenu muue ninyi halafu mtake wengine ndio wawajibike- kwanza kitendo cha polisi kushindwa kuzuia kifo hiki ni aibu kwa CCM na katibu wao wa Mkoa aliyekuwa msaidizi wa Nnape , ndugu Sixtus Mapunda.

M4C itaendelea kuwepo pamoja na hujuma zenu na mbinu zenu chafu.
 
Hata kama wao hawahusiki moja kwa moja na mauaji, lakini yalitokea kwenye maandamano yao, ilipaswa kuahirisha shughuli zao ili angalau wahudhurie mazishi
 
Tumushuhudia yaliyotokea pale Morogoro kwenye maandamano ya CHADEMA, ambapo mtu mmoja alifariki kwenye purukushani na polisi.

Cha kushangaza ni kuwa pamoja na kutokea mauaji na chanzo kikiwa ni wao kutotii maagizo waliyopewa na jeshi la polisi, kesho yake wakataka kuendelea na mikutano yao ya M4C Iringa, kabla ya kuzuiwa na polisi

Kulikuwa na haja gani ya kuendelea na mikutano yao wakati wamesababisha mauaji? Hii inadhihirisha kuwa hawa jamaa hawana utu ndani yao

Nawasihi Watanzania tuendelee kuwakataa hawa watu popote watakapoofika kutuletea propaganda zao

Wakatae wewe na .......eo mia.
 
Hata kama wao hawahusiki moja kwa moja na mauaji, lakini yalitokea kwenye maandamano yao, ilipaswa kuahirisha shughuli zao ili angalau wahudhurie mazishi

Ha ha mtapatashida sana na chadema nimemsikia Nape anampango wa kuanzisha Movement for Stop Change (M4SC) hebu muulize amefikia wapi?
 
Kweli Tuendelee kuwakataa ili mimi na ww tuuze kila kitu vikiisha ndugu wananchi wapeni M4C hii nchi
 
tatizo lenu M4C hamuwezi kukabiliana na changamoto, unataka kusema kile kifo hakina maana yoyote kwenu?

Mkuu, ilichofanya CDM ni kutuma wawakilishi pamoja na rambirambi maana maziko yalikuwa yanafanyikia Muheza Tanga. halafu ukumbuke haya ni mapambano, kamanda mmoja akipigwa na kitu chenye ncha kali a.k.a. risasi, tuliobaki tunasonga. tumeshagundua ccm mnataka kutuharibia ratiba yetu. kwa taarifa yako hiki sio chama cha msimu kama mlivyonyweshana upuuzi. CDM kipo organized, na kina ratiba ambayo inahitaji kufuatwa katika kuhakikisha tunasambaza vuguvugu la mabadiliko nchi nzima. kwetu 2015 ni kesho tu, na muda hautusubiri, kwa hiyo ni lazima tupambane hata kama tumejeruhiwa. PIPOOOOOOOOOOOOOOOOZZ, PAWAAAAAAAAAAAAAAAAA!!

Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waliondoe madarakani hili li serikali la ccm magamba/mafisadi/majambazi/wauaji.
 
Tumushuhudia yaliyotokea pale Morogoro kwenye maandamano ya CHADEMA, ambapo mtu mmoja alifariki kwenye purukushani na polisi.Cha kushangaza ni kuwa pamoja na kutokea mauaji na chanzo kikiwa ni wao kutotii maagizo waliyopewa na jeshi la polisi, kesho yake wakataka kuendelea na mikutano yao ya M4C Iringa, kabla ya kuzuiwa na polisiKulikuwa na haja gani ya kuendelea na mikutano yao wakati wamesababisha mauaji? Hii inadhihirisha kuwa hawa jamaa hawana utu ndani yaoNawasihi Watanzania tuendelee kuwakataa hawa watu popote watakapoofika kutuletea propaganda zao
Sasa wewe uiamini ili iweje?.. Huiamini!... hujawahi kuiamini!... utaiaminije?... Wewe nenda kapige epa na kutesa watu mabwepande!!!!...
 
Back
Top Bottom