eldamaty_persier
Senior Member
- Mar 18, 2024
- 118
- 285
- Thread starter
-
- #81
πππhata awe ke,asitake tupa lawama maana lile genge langu la KATAA NDOA watamcharanga panga za kutosha apa
Ndio! Ana msuuzo sasa??Rinse ni kusuuza πππ
Kiporo Cha wali maharage+ chai ya rangi ya tangawizi ni balahaaaaHuyo anataka kupasha kiporo tu anywe na chai ya tangawizi! Akili za kuambiwa chnganya na zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Looh πNdio! Ana msuuzo sasa??
How long have you been in UK ? πππKiporo Cha wali maharage+ chai ya rangi ya tangawizi ni balahaaaa
Poa poa mkuuUtani CC kwenye reply ya comment yake
Mambo ni mengi Ms Dejane kwa hii generation z πTatizo huwa tunakosea sana na tunajiwekea mipaka kuwa siwezi pata mwingine kama huyu,kumbe kuna watu bora zaidi ya huyo kidampa,change your mind iaminishe akili yako unahitaji mwanaume wa anai gani kisha tulia atakuja na hatakusumbua
Niliondoka na governor Richard Turnbull 1961 baada ya uhuru π€ππHow long have you been in UK ? πππ
Hivi Kuna alpha female pia?achana naye mkuu....hakuna mtu hapo safari hii atakupiga tukio la mwana ukome.
yangu ni hayoπΆββοΈπΆββοΈ
yeah wapoHivi Kuna alpha female pia?
Sifa zakeπ€yeah wapo
high levels of confidence, assertiveness, ambition. Independent, zipo nyingi sifa zao ila hizi ni baadhi tu.Sifa zakeπ€
KeKwani mtoa mada wewe ni jinsia gani?
Kiujumla jamaa anataka aifanye chapa ilale