View attachment 523058
Photoshop kwasasa ila yatakuja tokea katika uhalisia wake
Halafu atayafanyia nini?
Halafu angalia huyo dada kopo alivoliweka hajaliweka hivo kwa bahati mbaya anaigiza kama ana mtwangio hizo huwa zinaitwa subliminal messages hizi huwa zipo kwenye bidhaa nyingi isipokuwa watu hawajui mfano lile neno cocacola kwenye chupa ya cocacola ukilitizama vizuri utAgundua ni mchoro fulani ni mchoro wa nini? Ni kazi kwako kung'amua