Kingdan
Member
- May 5, 2020
- 61
- 49
Habari Wana jf wenzangu,
Naomba tusaidizane kwa Haya
Hivi majibu ya uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa yanatoka Baada ya siku ngapi?
Yanatumwa sehemu ipi?
Kwa kasi juu ya suala hili nahisi kuna watu watapata tabu Baada ya majibu kutoka Ndivyo sivyo halafu muda wa kuapply mkopo unaisha
Naomba mwenye uelewa kuhusu uhakiki wa cheti cha kuzaliwa atueleweshe mimi ma wahanga Wengine Kuwa
Hivi majibu ya kuhakiki cheti kwa mwaka huu yanachukua muda gani?
Majibu yanatumwa kwenye akaunti ipi ya Rita au email yangu?
Tusaidizane maana loan board hawana cha kupoteza ila sisi..!
Sent from Sony Xperia t2 dual