Agustino Regnald
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 501
- 428
Hebu tueleweshane kitu binadamu wa kwanza alikua nyani au Adam na hawa?
Ahahah Ile Ya yesu ni filamu mkuuhivi unafikiri jibu tutatoa wapi wakati wote hatukuwepo?au unataka tukwambie na ile picha maarufu ya yesu ni ya kweli hata kama kipindi chake camera hazikuwepo?
unataka kudanganywa hapa,subiri waje....

Unataka jibu la Kisayansi au Dini?Hebu Tueleweshane Kitu Binadamu wa kwanza Alikua Nyani Au Adam na Hawa.....?
wewe utakapo Simamia Nyani au Adam na Eva? MkuuUnataka jibu la Kisayansi au Dini?
kama la kidini unataka la dini gani?, Islam, Xtian, Buddha, Taoism nk,
Au unataka kujua kupitia dini za kiasili? Zipi sasa, za Kichaga, Kisukuma, kihaya nk
Kaka nimekujibu hivyo kwa sasa hiyo maada yako ni pana na usiwalazimishe watu kuchagua kati ya majibu yakowewe utakapo Simamia Nyani au Adam na Eva? Mkuu
La nyani huliamini na wewe mkuu....?Kaka nimekujibu hivyo kwa sasa hiyo maada yako ni pana na usiwalazimishe watu kuchagua kati ya majibu yako
Adam na Eva unamaanisha Abrahamic religions (Christian, Islam na Judaism) ambazo wengine hawaziamini hizo dini Kuna mabuddha na Wahindu humu
Hilo,la Nyani ni la kisayansi, ambalo pia kuna wasiloliamini

Hapa unaongelea mitazamo miwili tofauti....jitahidi usijichachanye...Hebu tueleweshane kitu binadamu wa kwanza alikua nyani au Adam na hawa?
Sawa mkuu wew una Mtazamo upi?Hapa unaongelea mitazamo miwili tofauti....jitahidi usijichachanye...
Kidini binadamu wa kwanza 'kuumbwa' alikuwa Adam lakini kisayansi kiumbe wa kwanza 'kugundulika' alikuwa nyani
Ni vema tukabaki na muktadha wa kichwa cha habariSawa mkuu wew una Mtazamo upi?
hivi unafikiri jibu tutatoa wapi wakati wote hatukuwepo?au unataka tukwambie na ile picha maarufu ya yesu ni ya kweli hata kama kipindi chake camera hazikuwepo?
unataka kudanganywa hapa,subiri waje....
Evolution of man in science context portrayed that a man came from apes lakini swali ni kwamba tokea ulimwengu umeumbwa ulishaona hata siku moja nyani amebadilika japo kidogoo tu na kufanana na mwanadamu?La nyani huliamini na wewe mkuu....?![]()
Hakuna ila Natumaini History Ulipata A kwa kuandika True.... Man come from Apes....Evolution of man in science context portrayed that a man came from apes lakini swali ni kwamba tokea ulimwengu umeumbwa ulishaona hata siku moja nyani amebadilika japo kidogoo tu na kufanana na mwanadamu?
Hadithi....? Binadamu walitokea wapi sasa mkuu?Zote ni hadithi.. Hakuna ukweli.
Kote wana MTU wao wa kwanza?Unataka jibu la Kisayansi au Dini?
kama la kidini unataka la dini gani?, Islam, Xtian, Buddha, Taoism nk,
Au unataka kujua kupitia dini za kiasili? Zipi sasa, za Kichaga, Kisukuma, kihaya nk
Wee ni mweusi au mweupe? Tuanzie apo!!Hebu tueleweshane kitu binadamu wa kwanza alikua nyani au Adam na hawa?
Mweusi FiiiiWee ni mweusi au mweupe? Tuanzie apo!!