Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
- Thread starter
-
- #21
Vizuri sana!Kwa kawaida kila kitu lazima kigawiwe kwa mbili au moja ima kibakie au kimalizike.Na ndipo huanza kujua hizo siri. Mimi napenda sana hisabu za kutoa kuliko zinginezo!.Ukifuatilia namba ulizoziweka hapo...ni dhahiri zimejaa siri nyingi zilizopo duniani.Sawa kabisa.Lakini wewe ulicho tuambia ni observation yako kuhusu three consecutive numbers.Sasa tupe siri ya namba hizo kama kichwa cha thread yako kinavyo sema.Nikuongoze kidogo.Mara nyingi tumedhani kwamba numbers are only physical items,lakini ukweli ni kwamba they also have a spiritial significance.In fact they are more spritual than physical.For example 3,8,11,33,666,13,21,7 etc.Now why those.
na hii je?
3304*11=36344.
45*45=45.Hii je?Du! No wonder why nilikimbia maths...! Namba zimekaa kimaajabu ajabu sana...narudi asa hivi
Naanzia hii namba 7.Mtoto anapozaliwa huanza mabadiko siku 7.Sayari zipo 7.Tuendelee kwa hii namba 7:Sawa kabisa.Lakini wewe ulicho tuambia ni observation yako kuhusu three consecutive numbers.Sasa tupe siri ya namba hizo kama kichwa cha thread yako kinavyo sema.Nikuongoze kidogo.Mara nyingi tumedhani kwamba numbers are only physical items,lakini ukweli ni kwamba they also have a spiritial significance.In fact they are more spritual than physical.For example 3,8,11,33,666,13,21,7 etc.Now why those.
Naanzia hii namba 7.Mtoto anapozaliwa huanza mabadiko siku 7.Sayari zipo 7.Tuendelee kwa hii namba 7:
Vzuri na ww utaje idadi uijuayo!hapo kwenye sayari zipo saba ninapata shida kidogo, labda ungesema sayari unazozijua wewe zina idadi hiyo
45*45=45.Hii je?
45*45=45.Hii je?
Teh teh teh!There is nothing to worry about.Hizo ndio hisabu!.What's your ans?Prove it
Hapo mtaalam aingie ubaoni tena!na hii je?3304*11=36344.