Tudai katiba kwa vitendo

Ngoreme

Senior Member
Dec 6, 2010
129
1
Napenda kwuwasalimu wana JF kwa amani naleta mawazo yangu kwa uchungu wa nchi hii kwa kuona jinsi inavyoliwa na mafioso.
Kwanza nataka tupingane na hukumu za ICC dhidi ya Tanzania kwani hukumu ikitolewa haina rufaa na madhara yake ni yapi.Hivyo basi ndani ya katiba mikataba mikubwa strategic contracts zimalizwe bungeni.
Hicvyo basi tu itishe na tuhamasishe mgomo siku moja tu ili serikali ijue nini kinatakiwa.

Pili naona tumkatae waziri wa sheria na AG.kama wasomi wengi walishaongelea hili na yeye anajua kwavipi apingane na hili au kanya maji ya bendela:target:
 
Goma mwenyewe, Watanzania hatukubaliani na mawazo ya hovyo kama haya.

Mwache AG afanye kazi yake. Huna uwezo wa kumng'oa wala kusababisha ang'olewe.

Kwa nini usiheshimu maoni yake? unadhani maoni yako na ya wanaofanana na wewe ndiyo sahihi?

Amuka we!
 
tugomeni na tufanye matendo ya hatari kidogo, mnajua ukimya wetu hauwezi saidia lolote. ikiwezekana hata vijimabmu kidogo vitumike ili kuwashtua wajue sasa tupo sirias na tunataka haki zetu.
 
tugomeni na tufanye matendo ya hatari kidogo, mnajua ukimya wetu hauwezi saidia lolote. ikiwezekana hata vijimabmu kidogo vitumike ili kuwashtua wajue sasa tupo sirias na tunataka haki zetu.

kweli mkubwa,watz tuache woga tudai haki zetu,tupambane ma huu utawala dhalimu.
 
tugomeni na tufanye matendo ya hatari kidogo, mnajua ukimya wetu hauwezi saidia lolote. ikiwezekana hata vijimabmu kidogo vitumike ili kuwashtua wajue sasa tupo sirias na tunataka haki zetu.
 
Back
Top Bottom