CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Mgaya ni mpuuzi, UKUTA haimhusu, ameshindwa kuwatetea wafanyakazi mpaka leo kima cha chini hakimalizi wiki kwa mfanyakazi, halafu bila aibu linakuja kubwabwaja hapa mambo ya UKUTA!Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini limesema haliungi mkono UKUTA, katibu mkuu wa TUCTA Nikolaus Mgaya amesema wao hawajihusisha na siasa kwa ni kazi yao ni kutetea maslahi ya wafanyakazi.
Amesema kuna wanachama wa upinzani na CCM waliopo TUCTA lakini wao hawataunga mkono UKUTA
Akizungumzia suala la kuhamia Dodoma amesema yawezekana hakuna majengo ya kutosha kweli lakini watabanana huko huko ili wapate akili za kujenga
Sijajua mkuu, inawezekana mwandishi alimwambia hebu sema maneno yoyote ya kuponda UKUTA mbele ya camera na micIliwahoji kama wanaunga mkono au??
GegedwaNimwendo wa kupinga UKUTA
Hii safi
Mkuu Lukesam, uko sahihi, kuna maswali mengine huulizwa kwa ajili ya habari hayastahili kuulizwa. Anyway, angalau tumeambiwa Mgaya alihojiwa na TBC 1, inawezekana "wali-set agenda"! Ni upuuzi kwa mwandishi wa habari kwenda kuwahoji TUCTA kama wanaunga mkono/watashiriki UKUTA au la?Iliwahoji kama wanaunga mkono au??
Hapo juu chinchilla coat ameniambia inawezekana aliambiwa aseme chochote cha kuipondea UKUTA mbele..Mkuu Lukesam, uko sahihi, kuna maswali mengine huulizwa kwa ajili ya habari hayastahili kuulizwa. Anyway, angalau tumeambiwa Mgaya alihojiwa na TBC 1, inawezekana "wali-set agenda"! Ni upuuzi kwa mwandishi wa habari kwenda kuwahoji TUCTA kama wanaunga mkono/watashiriki UKUTA au la?
Tatizo ni shule. Mkuu hili nitatizo kubwa la jamii yetu. Huyu jamaa anashule ndogo sana. Ni baharia tu ambaye ana elimu ndogo mno. Ndo maana unaona hana weledi wowote.Huyu si ndio alitakiwa atumbuliwe mapema na wafanyakazi wenyewe?maana haieleweki anachokisimamia
Nimwendo wa kupinga UKUTA
Hii safi
ndio maana wafanyakazi Tanzania wana danganywa danganywa wala hawajui haki zaoShirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini limesema haliungi mkono UKUTA, katibu mkuu wa TUCTA Nikolaus Mgaya amesema wao hawajihusisha na siasa kwa ni kazi yao ni kutetea maslahi ya wafanyakazi.
Amesema kuna wanachama wa upinzani na CCM waliopo TUCTA lakini wao hawataunga mkono UKUTA
Akizungumzia suala la kuhamia Dodoma amesema yawezekana hakuna majengo ya kutosha kweli lakini watabanana huko huko ili wapate akili za kujenga
Je yeye hizo haki za wafanyakazi anazisimamia.? .. Huyu jamaa ni mpuuzi tena wa kupuuzwa...