Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,121
- 1,983
Kwa Mara nyingine tena serikali ya ccm iliyopo chini ya mh Magufuli imekiuka sheria halali ya kuwaongezea watumishi mshahara(increment)
Watumishi wanapitia maisha magumu sana,madaraja hayapandi,miaka 7 masikini
Kila siku mkuu wa wilaya na mkoa wanawatumbua watumishi
hivi Kazi ya TUCTA ni ipi Tanzania,andaeni mgogoro na serikali iwajali watumishi
Halafu kesho utasikia mtumishi wa serikali yuko bize kumuunga mkono mheshimiwa