Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA amesema wamefanya tafiti kubaini kiwango cha mshahara ambacho kinaweza kumtosha mtumishi kuendesha maisha yake
Kutokana na Tafiti yao wamependekeza kiwango cha chini mshahara kiwe Tsh. 970,000 kutokana na gharama za maisha za sasa
Hayo yamesemwa siku ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi ambayo kitaifa yamefanyika katika ukumbi wa CCM Kirumba Mwanza
We unapendekeza shi ngapi mkuu?Sijui walivuta ugolo wawapi
Mkilipwa elf50 kwa mwezi mtapanda daladala kwa shingi mia?Tutapanda daladala kwa 12,000/=
Beki tatu!!mtumishi yupi??
Ni bora walipwe elf 50 kwa mweziMshahara haijawahi kutosha hata siku moja
Duh!Ni bora walipwe elf 50 kwa mwezi
Hii ni nchi TAJIRI. Kwhy kima cha chini cha mshahara (KCCM) kiwe sawa na mshahara wa mbunge mwenye elimu ya darasa la Saba kfn Kibajaji au Msukuma, 2m/- kwa mwezi.Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA amesema wamefanya tafiti kubaini kiwango cha mshahara ambacho kinaweza kumtosha mtumishi kuendesha maisha yake
Kutokana na Tafiti yao wamependekeza kiwango cha chini mshahara kiwe Tsh. 970,000 kutokana na gharama za maisha za sasa
Hayo yamesemwa siku ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi ambayo kitaifa yamefanyika katika ukumbi wa CCM Kirumba Mwanza
Beki tatu!!
Soma uelewe usisome ili ubishaneMkilipwa elf50 kwa mwezi mtapanda daladala kwa shingi mia?