TUCTA imekufa?

SN.BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4,051
Reaction score
9,005
Huyu katibu mkuu hawezi hata kusoma vizuri pia anaoenekana kalewa.

Ametumia dakika 10 utambulisho na kusifu serikali.

Bado anaendelea kuongea....

Kweli JPM aliua vyama vya wafanyakazi.
 
Hivi ni Katibu mkuu au naibu Katibu mkuu!? Kwa kweli sijui alikuwa na vigezo gani hadi akapata huo wadhifa!
 
Huyu katibu mkuu hawezi hata kusoma vizuri pia anaoenekana kalewa.

Ametumia dakika 10 utambulisho na kusifu serikali.

Bado anaendelea kuongea....

Kweli JPM aliua vyama vya wafanyakazi.
Mawazo kama yangu, kama mwakilishi ndo huyu Wafanyakazi wasitegemee lolote.
 
Huyu katibu mkuu hawezi hata kusoma vizuri pia anaoenekana kalewa.

Ametumia dakika 10 utambulisho na kusifu serikali.

Bado anaendelea kuongea....

Kweli JPM aliua vyama vya wafanyakazi.
Mbona kaongea mambo konki. Alikuwa anawalainisha serikali ili ashushe nondo..!
 
Baaada ya speech yake kuisha nimebadilisha channel, nasubiria speech ya mama .
 
Roho imeniuma kwa nini uwanja haujafurika kama ilivo kawaida sio picha mzuri wallahi

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Maumivu yakizidi sana na trust ikivunjika ni ngumu sana kuirudisha kwa ghafla...
Matokeo ya hitimisho la leo ndio aidha itakuwa cheche ya kurudisha moto ymwa matumaini au msumari wa mwisho kwenye jeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…