Tuchore mstari kwenye suala la ushoga

Tuchore mstari kwenye suala la ushoga

Wakuu,

Sheria zetu zipo wazi kabisa kwenye swala la ushoga. Ushoga Tanzania ni marufuku kisheria lakini pia kwa utamaduni wetu haikubaliki.

Tunahitaji kigugumizi kwenye hili? Tunahitaji kuzunguka kwenye hili? Kama wapo wanaofikiri hili swala linakiuka haki za binadamu ( haki kwa standards za kizungu tunahitaji kuwa na zetu), basi wangepambana na hizi sheria tuone wako serious.

Ni unafiki kujifanya una dini huku unakubaliana na mambo ambayo ni kinyume cha dini karibia zote. Wenzetu ushoga umepenyezwa hadi kwenye dini na kugeuzwa kawaida alafu na sisi tunataka kupiga siasa badala ya kuwa bold kwenye hili.

Kwanza hili liwe swala la kikatiba kuonesha tunasimamia nini, ili tuache kupiga siasa kwenye vitu ambavyo hakuna anayetamani kizazi chake kidumbukie huko.

Sikilizeni jibu la kiume kutoka kwa Rais Museven ili siku nyingine tukiulizwa swali juu ya ushoga tuwe bold enough na si blah blah.



View attachment 1006840

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, we mzee ingekuwa jioni ningesema ni nguvu za K vant ...

Btw sijui kilicho nyuma ya kesi ya Babu Seya, ila kwajinsi nilivyoona hadi Lowasa anahaidi kumtoa jela maana yake labda ilikuwa kesi ya visasi lakini siwezi kuhukumu

Sent using Jamii Forums mobile app

Unazungumzia visasi kesi ambayo Rufaa zote zimedunda.

Huwezi kuhukumu wakati umeshatumia Dini yako kuhukumu wengine ilhali ukijua Serikali haina Dini?
 
Hamjasoma kwenye Biblia kuwa anayetetea ushoga au mashoga wenyewe wanastahili kufa ?
 
Watakua mashoga hatari... Hamna haja ya kuwaka ilihali mambo yanarudi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hata ukichoma shamba la mpunga mvua ikinyesha utaota mpunga. Hata usipopanda mbegu, kunazingine huwa haziungui. Ndio maana nasikia huko jehanam kunawaka moto wa milele, hauzimiki wala kupungua.
 
Hahaha hata ukichoma shamba la mpunga mvua ikinyesha utaota mpunga. Hata usipopanda mbegu, kunazingine huwa haziungui. Ndio maana nasikia huko jehanam kunawaka moto wa milele, hauzimiki wala kupungua.
Hizo ni hadithi ya kutunga... Usiamini kila kitu unacho sikia ukifa unaoza mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom