Tuchore mstari kwenye suala la ushoga

Tuchore mstari kwenye suala la ushoga

Mtu akiwa shoga kwa ridhaa yake mwenyewe ,ww unapatwa na hasara gani ?,hakutegemei kiuchumi nk,kila mtu anakaburi lake atajibu kwa Mola wake mwenyewe,sioni haja ya kuwatolea macho wakiwa ni watu wazima tatzo kwa watoto kufundishwa tabia hizo ndo hatari ilipo ila mambo haya huanza baada ya balehe au kuvunja ungo kama sikosei na sizan kama mtu anaweza kuanza kabla ya kupevuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika kama kwamba huyo shoga yuko peke yake hapo kwenye hiyo jumuiya. Hapana, ni kweli wapo wachache sana lakini hao hao ndio watakao tuletea huo upotofu ukubalike. Ndio maana, wanajiingiza kwa siri humu kuleta mawazo yao potofu.
Sikiliza; Neno la Mungu linasema; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema. Kule tu kutaka kuuliza opinion zetu humu JF ni kutuletea mawazo machafu. Ningelitamani hata hii fursa waliyopewa kuuliza opinion zetu wangenyimwa kabisa kabisa kwani hatuwajui na hatuamini kuwa wapo. Kama wapo, Wapigwe kwa mawe hadharani pale Mnazi mmoja wafwe tuu ili tuondoe huu uozo hapa Tz.
Kuhusu kuliweka hili katika katiba, ni bure tu kwani yapo mengi mema yaliyoandikwa kwenye hiyo katiba na viongozi walio apa kuilinda wamesahau wakisema Katiba jilinde mwenyewe.
 
Hahaha ushoga katiba inaushughulikiaje?! Mnapoongea hivi utadhani mashoga nao tunaletewa kutoka ulaya na amerika. Ushoga ni tabia kama ucha mungu, au ulevi. Hakuna sheria juu ya hili na haijawahi kuwepo,
Hakuna mtu anasema mwanangu sasa kawe shoga au lesbian, ni vitu watu hujifunza kwa utashi wao. Hata jamii hairuhusu lakini wapo, sasa katiba itawaua au itawafanya nini?!
Hawa watu wapo dunia nzima, kabla na baada ya Yesu. Hivi nani hasa anawatengeneza watu hawa, ni bebwru au sisi wenyewe?! Mnavyooongea utadhani ni bidhaa tumeletewa kwa hisani ya watu wa marekani hahaha.
Ushoga unasemwa toka enzi za agano la kale lakini ulimwengu wa sasa unahalalishwa tena kwa nguvu. Hivi miaka ya 80s kurudi nyuma mtu kuhusishwa na ushoga ilikuwa aibu isiyo ya kawaida na kama vilifanyika ilikuwa kwa kificho mno. Hii kuendekeza kujitangaza hadharani na kutetea haki zao inageuza hata watu wasio na tatizo hilo ki biolojia kuingia huko kwa mkumbo au tabia na kuiga.

Ushoga sio na halijawahi kuwa tatizo la kibioligia, huu ni utashi na naweza kusema nikama ulevi wowote uujuao, wanaoufanya ni kwasababu wameamua na sio kwamba eti ni ulemavu wa akili au kuna genes za ushoga mtu anazaliwa nazo, HAPANA.
Watu hupenda kutafuta justifications reasons kwa nguvu kulazimisha ulevi wao, au tabia zao zionekane ni sehemu ya mahitaji yao muhimu. Kwenye hili hii ni tabia kama kuvuta sigara, wakiamua wanaweza kuacha na hakuna tiba bali maamuzi yao.
Watangazaji ni pamoja na wewe uliyeleta uzi huu, umesaidia kuwatangazia biashara yao, nasema biashara kwasababu wanalipwa na wengine hujiuza.
Sio tabia nzuri, tunaikataa kwa kuwa na watoto wetu karibu kuwalea kuwaepusha na tabia zisizifaa, kama unaweza jizui mwanao asiwe mlevi wa pombe,sigara, bangi au unga,vivyo hivyo ushoga tujitahidi.
Ninaposhindwa kuelewa hili limekuwa ni ajenda ya kisiasa, na sasa ni international geopolitics, kwanini???!!.
Ni wapi ushoga ulipenya ukaingia kwenye siasa zetu?! Misaada yenye masharti, NGO za kusaidia mahitaji ya mashoga- vilainishi. Na misaada kupunguza au kuzuia maambukizo ya ukimwi-kondoms. Hapo tukajikuta ukipokea unapokea vyote huwezi kubagua msaada, serikali isipopokea zile NGO zao zinapokea na pesa juu, kufikia hapo tukawa tunalikuza tatizo hadi sasa, umeona juzi Lisu anahojiwa, kitu ambacho hata hakina faida kwenye jamii yetu, lakini kwa ujinga wetu tunapromote ushoga. Tuache kuyaleta haya, yatakufa yenyewe. Tukizidi kuyaandika tunayapromote unknowingly, let's stop it pureeeze.
 
Wewe inaonekana ni shoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha binadamu tunamatatizo sana. Yani mkibanwa mnarusha matusi. Kilasiku nawaambia msiwe na msifuate tabia za mama zenu kwakuwa tu baba zenu hatukujitokeza kuwa claim.
Mama yako akiwa malaya haikufanyi wewe pia uwe malaya, unaweza chagua kutokuwa kama yeye.
Muwe na heshima wengine sio watoto wenzenu humu.
 
Kwako unaona bora uwe shoga? Au hadi sasa wewe ni shoga na ndio maana unaona kitu cha kawaida?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanieleaa na sishangai nimeangalia kumbe wa juzi utachukua.muda kuelewa mada za huku nakushauri usome kwanza wenzako ndo uje ufanye majadiliano .nilimaanisha kati ya hayo matatizo lipi tuanze nalo kulitatua.... ukitatua ushoga kw kuweka ndani mashogo hujafanya lolote alijaribu makonda , ukisema tuweke sheria kwanza zipo watu wanafanya mambo yao vyumbani umeingilia faragha zao katiba inakataza.. ukianza kutatua huduma za jamii kama elinu huko ndo unaweza kuwFu disha na wakaelewa madhara ya ushoga na jamii yetu...... umelewa sass
 
Wakuu,

Sheria zetu zipo wazi kabisa kwenye swala la ushoga. Ushoga Tanzania ni marufuku kisheria lakini pia kwa utamaduni wetu haikubaliki.

Tunahitaji kigugumizi kwenye hili? Tunahitaji kuzunguka kwenye hili? Kama wapo wanaofikiri hili swala linakiuka haki za binadamu ( haki kwa standards za kizungu tunahitaji kuwa na zetu), basi wangepambana na hizi sheria tuone wako serious.

Ni unafiki kujifanya una dini huku unakubaliana na mambo ambayo ni kinyume cha dini karibia zote. Wenzetu ushoga umepenyezwa hadi kwenye dini na kugeuzwa kawaida alafu na sisi tunataka kupiga siasa badala ya kuwa bold kwenye hili.

Kwanza hili liwe swala la kikatiba kuonesha tunasimamia nini, ili tuache kupiga siasa kwenye vitu ambavyo hakuna anayetamani kizazi chake kidumbukie huko.

Sikilizeni jibu la kiume kutoka kwa Rais Museven ili siku nyingine tukiulizwa swali juu ya ushoga tuwe bold enough na si blah blah.

View attachment 1006840

Sent using Jamii Forums mobile app

..ungeanza na WAZIRI DR.MAHIGA aliyesema kamata-kamata ya MH.MAKONDA haina baraka za SEREKALI.

..Pia kuna suala la RAISI kumuachia BABU SEYA na kumkaribisha IKULU na kupiga naye picha zilizosambaa dunia nzima.

..Matukio hayo mawili naamini yatakufungua macho kwamba hakuna mwenye nia ya kweli ya kushughulika na tatizo hili.

..Suala la ushoga limejaa siasa na viongozi wanaangalia upepo ktk jamii unavuma kuelekea wapi, na wao wanaelekea hukohuko.

..Wakati jamii ilipokuwa na huruma kwa shoga na mfi.raji watoto Babu Seya na Papii, serekali na CCM ikawakumbatia na kuwapa support.

..Sasa hivi jamii imeamka na kukataa ushoga, serekali na CCM wamegeuka na kumtupia lawama hasimu wao, Tundu Lissu.

Cc tindo
 
We dogo mbona unaonekana una tabia zote za hao watu. Tukikaza si utaumumia, acha ushabiki wa kiitikadi
 
Kama mtu anachagua kuwa straight,kwa nini anayechagua kuwa shoga anabaguliwa….zote si choices tu mtu ana make?
 
Hahaha sasa wizi tunapoupinga/tunaoupinga umeisha?! Kuna vitu vipo na vitakuwepo tu labda dunia hii iwake moto.
Na ikiwaka vitakuja tena coz Mungu kaviweka....kumbuka sodoma na gomora, wakati wa nuhu kote dunia iliteketezawa sababu ya maovu ila yamerudi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani uwizi SI ni tabia Kama nyingine..ila kwanini tunaupinga kwa nguvu zote kwa sababu Ni mbaya.jamii haitaki..na hata ushoga jamii haitaki kwa hiyo lazima tuupinge kwa maneno na vitendo na sio kuficha ficha
Mkuu unapolinganisha suala la wizi na ushoga unakuwa hauko sawa. Wizi unadhuru, unadhurumu haki ya mwingine bila hatia. Lakini ushoga haugusi maisha mtu mwingine kabisa bali unakuwa ni privacy ya mtu na mtu.
Mfano privacy ambazo hata wana Jf huzitimiza kwa nguvu sana ni:
Kupiga punyenga
Kunyonya mbunye
Kulamba koni
Kula jicho la mademu zao.
Kumwagia demu mdomoni au nje ya mwili na nyingine ongeza.
Laiti haya yote yasingekuwa privacy basi makelele ya jamii yangepaa hewani sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..ungeanza na WAZIRI DR.MAHIGA aliyesema kamata-kamata ya MH.MAKONDA haina baraka za SEREKALI.

..Pia kuna suala la RAISI kumuachia BABU SEYA na kumkaribisha IKULU na kupiga naye picha zilizosambaa dunia nzima.

..Matukio hayo mawili naamini yatakufungua macho kwamba hakuna mwenye nia ya kweli ya kushughulika na tatizo hili.

..Suala la ushoga limejaa siasa na viongozi wanaangalia upepo ktk jamii unavuma kuelekea wapi, na wao wanaelekea hukohuko.

..Wakati jamii ilipokuwa na huruma kwa shoga na mfi.raji watoto Babu Seya na Papii, serekali na CCM ikawakumbatia na kuwapa support.

..Sasa hivi jamii imeamka na kukataa ushoga, serekali na CCM wamegeuka na kumtupia lawama hasimu wao, Tundu Lissu.

Cc tindo
Hapo mkuu tunatafuta justification za kumtetea Lissu. Kama ni kosa ni kosa litendwe na CCM au yeyote ni kosa. Kwa kifupi tulitegemea Lissu aseme kiume kupinga ushoga ili kuwafunda CCM namna ya kusimamia mambo ya msingi bila kigugumizi.

Kwa mfano wewe JokaKuu unaunga mkono mambo ya ushoga? Hapa linatakiwa jibu very direct na si kuzunguka.

Hahaha kuunga mkono ushoga ni kufanyaje?! Yani nawe unakua shoga au unawakubali mashoga kwamba wana exist?! Na unapokua huungi mkono unakuaje kwamba unakataa existance yao au ukikataa wanatoweka?!
 
Wakuu,

Sheria zetu zipo wazi kabisa kwenye swala la ushoga. Ushoga Tanzania ni marufuku kisheria lakini pia kwa utamaduni wetu haikubaliki.

Tunahitaji kigugumizi kwenye hili? Tunahitaji kuzunguka kwenye hili? Kama wapo wanaofikiri hili swala linakiuka haki za binadamu ( haki kwa standards za kizungu tunahitaji kuwa na zetu), basi wangepambana na hizi sheria tuone wako serious.

Ni unafiki kujifanya una dini huku unakubaliana na mambo ambayo ni kinyume cha dini karibia zote. Wenzetu ushoga umepenyezwa hadi kwenye dini na kugeuzwa kawaida alafu na sisi tunataka kupiga siasa badala ya kuwa bold kwenye hili.

Kwanza hili liwe swala la kikatiba kuonesha tunasimamia nini, ili tuache kupiga siasa kwenye vitu ambavyo hakuna anayetamani kizazi chake kidumbukie huko.

Sikilizeni jibu la kiume kutoka kwa Rais Museven ili siku nyingine tukiulizwa swali juu ya ushoga tuwe bold enough na si blah blah.

View attachment 1006840

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ni kwa nini Waziri Mahiga alitengua maagizo ya RC Dar kuhusu hilo suala?
 
Ni kweli kwamba member wa JF kama wewe hujui kwamba TZ tuna sheria inayokutia hatiani kwa ushoga?. Kama ulikuwa unafanya ushoga kwa kutojua kwamba sheria hiyo ipo, jifiche. Siku ukijizagalisha, utatiwa kibano.

we mama acha mambo yakingese ebu taja hiyo sheria? wakati yule waziri anapinga ile opereshen ya makonda ulikua umelalwa na popobawa au,ni mashoga wangapi wamekuwa wakijitangaza hadi kuhojiwa kwenye redio,kuna aliekamatwa? au unataka bwana.achaga kukurupuka punga wewe
 
Hapo mkuu tunatafuta justification za kumtetea Lissu. Kama ni kosa ni kosa litendwe na CCM au yeyote ni kosa. Kwa kifupi tulitegemea Lissu aseme kiume kupinga ushoga ili kuwafunda CCM namna ya kusimamia mambo ya msingi bila kigugumizi.

Kwa mfano wewe JokaKuu unaunga mkono mambo ya ushoga? Hapa linatakiwa jibu very direct na si kuzunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app

..Duh!!

..kumbe ulikuwa unatafuta justification ya kumsulubu TL?

..hivi kitendo cha Babu Seya kualikwa Ikulu hudhani kwamba kinakazia msimamo kwamba tunaukubali ushoga na kufanya ngono na watoto wadogo?

..Na taarifa ya MAANDISHI ya serekali kupitia kwa Waziri Mahiga nayo umeisoma? Umeielewa? Unaamini inapinga ushoga?

..sasa interview ya TL ina uzito kuliko hayo niliyokueleza hapo juu?
 
Back
Top Bottom