Tuchore mstari kwenye suala la ushoga

Tuchore mstari kwenye suala la ushoga

"Kuchora mstari juu ya ushoga?". Njia pekee na ya uhakika iliyopo ni kuwaondoa wote kwa njia yoyote inayowezekana, hata ikibidi kuwaua. Je, upo tayari kufanya hivyo? Na hata ukiwaua waliopo, wengine wataendelea kuzaliwa. Hawa walikuwepo enzi na enzi. Kutowajua au kuwasikia haina maana kuwa hawakuwepo. Kilichobadilika sasa ni kuwa inazidi kuwa ngumu kuwanyamazisha.

Vinginevyo ni kuwakandamiza ili ionekane hawapo; lakini hii itakuwa ni 'aspirin' tu ya kuondoa maumivu kwa muda ugonjwa ukiendelea kukorea. Utakapofikia kiasi chake utafumburuka tu utake usitake.

Tusitake kujifanya kama hatujui historia ya mambo haya. Hata huko majuu, mahafizina bado wanajiapiza kuwa 'ushoga' haukubaliki, lakini unaendelea tu kufumburuka.

Ni kiasi cha muda tu, sote tutaanza kuwa tunatazama pembeni wakati jamaa wakisherehekea uhuru wao mitaani.
 
Yeap! Nadhani ulitaka kumtaja Lissu jinsi alivyozungusha maneno juu ya jambo hilo: Kama Lissu ni shoga, ana haki hiyo. Lakini, kama siyo shoga na hayo ndo majibu aliyozunguka nayo BBC basi ni mwanasiasa mbovu, mwenye lengo la kutafuta kuungwa mkono kwa gharama mbovu. Sijui kwa nini alishindwa kusema YES au NO! Badala yake kakimbilia katiba na mambo ya privacy huku akijua kwamba kwa kisingizio kama hicho, hata anayelawiti mtoto mdogo naye ni privacy yake.

Nimekuwa na msimamo mmoja tu juu ya watu hawa wa aina ya Lissu. Tusipoteze muda kusilikiza mwanasheria ktk siasa. Tunataka maendeleo na duniani kote, maendeleo yametokana na sayansi na siyo sheria.

Msikilize Uhuru Kenyatta

Uhuru aliukataa ushoga akiwa Raisi bile vile Kwa Museven amewahi kutoa kauli ya No kwa Ushoga, japo alishindwa kuisimamia na hata huyo uhuru ukifuatilia kuna wanaume wameshawahi kuoana kenya. Nauliza tuu MSIMAMO WA SERIKALI YETU NI UPI JUU YA USHOGA IKIWA WAZIRI ALIWAHI KUPINGA KAMPENI YAKUTOKOMEZA MASHOGA NA KUSEMA SIO MSIMAMO WA SERIKALI?
Mlisheni Lissu maneno lakini alieleweka vile mlivyotaka ajibu mtakane na Raisi atoe kauli ya seriki juu ya ushoga. Pia lissu aliuliza juu ya haki za kibinaad ikiwa ni pamoja na hao machoko, mlitakakatae kwani lini nchi yetu iliruhusu kama haijaruhusu si haitaki. Kwa mantiki hyo Hakuna ajuaye nani ni shoga kwakuwa serikali inalindhaki za faragha, na tia ya mtu ni ya mtu tuu hawezi kuacha kisLissu kapinga na wala hakuna atakayeianza kisa lissu hajaipinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mkuu tunatafuta justification za kumtetea Lissu. Kama ni kosa ni kosa litendwe na CCM au yeyote ni kosa. Kwa kifupi tulitegemea Lissu aseme kiume kupinga ushoga ili kuwafunda CCM namna ya kusimamia mambo ya msingi bila kigugumizi.

Kwa mfano wewe JokaKuu unaunga mkono mambo ya ushoga? Hapa linatakiwa jibu very direct na si kuzunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakua shoga wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru aliukataa ushoga akiwa Raisi bile vile Kwa Museven amewahi kutoa kauli ya No kwa Ushoga, japo alishindwa kuisimamia na hata huyo uhuru ukifuatilia kuna wanaume wameshawahi kuoana kenya. Nauliza tuu MSIMAMO WA SERIKALI YETU NI UPI JUU YA USHOGA IKIWA WAZIRI ALIWAHI KUPINGA KAMPENI YAKUTOKOMEZA MASHOGA NA KUSEMA SIO MSIMAMO WA SERIKALI?
Mlisheni Lissu maneno lakini alieleweka vile mlivyotaka ajibu mtakane na Raisi atoe kauli ya seriki juu ya ushoga. Pia lissu aliuliza juu ya haki za kibinaad ikiwa ni pamoja na hao machoko, mlitakakatae kwani lini nchi yetu iliruhusu kama haijaruhusu si haitaki. Kwa mantiki hyo Hakuna ajuaye nani ni shoga kwakuwa serikali inalindhaki za faragha, na tia ya mtu ni ya mtu tuu hawezi kuacha kisLissu kapinga na wala hakuna atakayeianza kisa lissu hajaipinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msikilize Museveni hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Sheria zetu zipo wazi kabisa kwenye swala la ushoga. Ushoga Tanzania ni marufuku kisheria lakini pia kwa utamaduni wetu haikubaliki.

Tunahitaji kigugumizi kwenye hili? Tunahitaji kuzunguka kwenye hili? Kama wapo wanaofikiri hili swala linakiuka haki za binadamu ( haki kwa standards za kizungu tunahitaji kuwa na zetu), basi wangepambana na hizi sheria tuone wako serious.

Ni unafiki kujifanya una dini huku unakubaliana na mambo ambayo ni kinyume cha dini karibia zote. Wenzetu ushoga umepenyezwa hadi kwenye dini na kugeuzwa kawaida alafu na sisi tunataka kupiga siasa badala ya kuwa bold kwenye hili.

Kwanza hili liwe swala la kikatiba kuonesha tunasimamia nini, ili tuache kupiga siasa kwenye vitu ambavyo hakuna anayetamani kizazi chake kidumbukie huko.

Sikilizeni jibu la kiume kutoka kwa Rais Museven ili siku nyingine tukiulizwa swali juu ya ushoga tuwe bold enough na si blah blah.

View attachment 1006840

Sent using Jamii Forums mobile app
Dini gani unaongelea maana kuna dini nyingi?

Halafu kwanini unataka kutumia mambo yako binafsi ya dini kugeuza kuwa sheria

Kwa hiyo mfano Wakatoliki wanapoamini Rozari basi kila mtu unataka afuate Rozari?

Kuna mambo mnayoandika ni vituko sana, wewe unafanya mambo mangapi ya uchafu zaidi ya ushoga?

Wewe Certified killer ambaye muda wote unawinda wanaotofautiana na wewe na kuua na shoga nani nafuu?

Mashoga wanakuathiri nini kwenye maisha yako binafsi?

Ungeongelea wauwaji tungekuelewa wanasababisha Yatima na ulemavu

Kuna muda sio kila unalowashwa au kuaminishwa na imani yako lazima uropoke

Hata wewe yawezekana ndio Shoga wa Taifa kwa style ya maandishi yako, Kuna walakini wewe kama ni shoga au la
 
Sasa ni kwa nini Waziri Mahiga alitengua maagizo ya RC Dar kuhusu hilo suala?
Tatizo Chadema wengi mnataka kutumia makosa ya viongozi wa CCM kutetea makosa yenu! Hapa mjadala ni tukubaliane kuwa na msimamo mmoja kuwa ushoga Tanzania ni kosa na hakuna kuteteana kwa stori za haki za binadamu. Awe Mahiga au Lissu wote hawapaswi kuwa na kigugumizi kwenye hili, tuwaambie ukweli hata kama unampenda sana Lissu au Mahiga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Duh!!

..kumbe ulikuwa unatafuta justification ya kumsulubu TL?

..hivi kitendo cha Babu Seya kualikwa Ikulu hudhani kwamba kinakazia msimamo kwamba tunaukubali ushoga na kufanya ngono na watoto wadogo?

..Na taarifa ya MAANDISHI ya serekali kupitia kwa Waziri Mahiga nayo umeisoma? Umeielewa? Unaamini inapinga ushoga?

..sasa interview ya TL ina uzito kuliko hayo niliyokueleza hapo juu?
Mkuu unaunga mkono ushoga? Please jibu Yes or No ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Sheria zetu zipo wazi kabisa kwenye swala la ushoga. Ushoga Tanzania ni marufuku kisheria lakini pia kwa utamaduni wetu haikubaliki.

Tunahitaji kigugumizi kwenye hili? Tunahitaji kuzunguka kwenye hili? Kama wapo wanaofikiri hili swala linakiuka haki za binadamu ( haki kwa standards za kizungu tunahitaji kuwa na zetu), basi wangepambana na hizi sheria tuone wako serious.

Ni unafiki kujifanya una dini huku unakubaliana na mambo ambayo ni kinyume cha dini karibia zote. Wenzetu ushoga umepenyezwa hadi kwenye dini na kugeuzwa kawaida alafu na sisi tunataka kupiga siasa badala ya kuwa bold kwenye hili.

Kwanza hili liwe swala la kikatiba kuonesha tunasimamia nini, ili tuache kupiga siasa kwenye vitu ambavyo hakuna anayetamani kizazi chake kidumbukie huko.

Sikilizeni jibu la kiume kutoka kwa Rais Museven ili siku nyingine tukiulizwa swali juu ya ushoga tuwe bold enough na si blah blah.

View attachment 1006840

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nani kakulazimisha kuwa Shoga ?
Au ilikuweje Mpaka ukawa Shoga ?
Tuanzie hapa kwanza

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Tatizo Chadema wengi mnataka kutumia makosa ya viongozi wa CCM kutetea makosa yenu! Hapa mjadala ni tukubaliane kuwa na msimamo mmoja kuwa ushoga Tanzania ni kosa na hakuna kuteteana kwa stori za haki za binadamu. Awe Mahiga au Lissu wote hawapaswi kuwa na kigugumizi kwenye hili, tuwaambie ukweli hata kama unampenda sana Lissu au Mahiga!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ushoga haukubaliki Africa.Si desturi yetu na si tatizo kubwa kivile.Tuna matatizo mengi makubwa kama njaa na umaskini.

Je tunataka tuingie katika vita na nchi za magharibi kwa jambo ambalo si kubwa kwetu?Maana Makonda alitangaza vita ila Mahiga akasema ile ni vita ya Makonda na si ya Tanzania.
 
Msikilize Museveni hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu. Kama nilivyosema ushoga umekuwepo miaka mingi huku kwetu lakini ilibakia ni private life ya mhusika kutoka na jamii kuchukulia vitendo hivyo kama laana. Hii ilisaidia kuzuia kuenea kwa hayo mambo na kwa asilimia kubwa kubakia watu wenye ulemavu huo kibailojia. Kwasasa tulijisahau mambo yakawa wazi tena kama vinapewa promotion kwenye mitandao na sehemu za wazi. Hata watoto na vijana ambao zamani walikuwa na hofu wakawa huru kujitangaza wanachofanya. Huwezi kufanya wanadamu wanaolala hadi na wanyama kuacha baadhi ya tabia mbovu lakini lazima uwe utaratibu wa kuvidhibiti ili visigeuke kuwa kawaida. Hii mambo ya haki za binadamu imewafikisha hapo ulaya na marekani wanaoana hadi kwenye nyumba za ibada. Kwanini tuwe na kugugumizi kwenye hili? Mbona jibu la Museven kwenye haya mahojiano lipo sawa kimantiki tofauti na watu wetu ambao wanashindwa kunyoosha maelezo? Mfano mtu anaposema atafuta sheria zote zinakataza ushoga, huoni ni kutetea ushoga huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi mada ndio tuna promo ushoga, uwe unapinga au unakubaliana nao

Na mbaya zaid ukitetea unachukuliwa shoga na ukipinga unakiuka haki za binadamu, watanzania toka lini shoga akawa binadamu??? Mashoga ni viumbe hai waliokuja kuchafua dunia ata Mungu mwenyewe aliwatia kiberiti pale sodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavyosema suala la ushoga halikubaliki Tanzania una maana gani? Hebu, fafanua. Tunajua Marais waliopita walipokea fedha za mashoga, na Magufuli anapokea fedha za mashoga kupitia michango na mikopo inayotoka nchi wahisani ambako ndiko inatoka sehemu kubwa ya michango mbalimbali tunayoipokea kwa mbwembwe hapa nchini. Usikute hata rubani wa Canada aliyeleta Bombadier yetu hapa nchini ni shoga. Sasa hebu chora huo mstari unaosema tuuchore utuonyeshe njia Mkuu. Are you denouncing just the act or everything about it? Na kama unataka kumfunga shoga kwa kitendo cha ushoga, how do you enforce that law? Unajua hayo mambo 99% yanafanyika ktk kificho, siyo waziwazi?
 
Kama IPO iweke hapa,Au Uzushi,?
Isijekuwa Unamzingua MTAZAMO
..Duh!!

..kumbe ulikuwa unatafuta justification ya kumsulubu TL?

..hivi kitendo cha Babu Seya kualikwa Ikulu hudhani kwamba kinakazia msimamo kwamba tunaukubali ushoga na kufanya ngono na watoto wadogo?

..Na taarifa ya MAANDISHI ya serekali kupitia kwa Waziri Mahiga nayo umeisoma? Umeielewa? Unaamini inapinga ushoga?

..sasa interview ya TL ina uzito kuliko hayo niliyokueleza hapo juu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii ya Tanzania kwa ujumla wake haipendi na haitapenda swala hili la USHOGA kuwa sehemu ya mira/tamaduni zake. Ushoga ni dhambi kama dhambi zingine hivyo haitatokea jamii yetu ikakubali kubariki dhambi hii. Ushoga utaendelea kuwa haramu siku zote.

Swala la muhimu hapa ni SHOGA. Ushoga ni kitendo kibaya (dhambi) ila shoga ni mtu mbaya ila ni mtu ni binadamu. Hapa ndipo tunapaswa kujadili zaidi kuliko ushoga. Katiba na sheria zingine zinazungumzia mtu/binadamu na si vitendo vyao. Kwa hiyo tukiweza kujadili haya mambo kwa kuyatofautisha tungeweza kupata namna nzuri ya kushughulika nayo.

Msimamo wangu: Mimi sipendi na sitapenda kamwe kukubali wala kutambua USHOGA kama swala muhimu la jamii yangu bali ni DHAMBI ambayo inapaswa kupingwa na kila mwenye akili timamu.

Kuhusu mashoga, mashoga ni watu ni binadamu kama tulivyo sisi hivyo wanahitaji huruma kama ambyo serikali inagharamia / kusaidia matibau bure kwa wagonjwa wa UKIMWI bila kuwauliza kama ukimwi waliupata wapi (Uzinzi). Kama dhambi zingine watu wanaziacha hata shoga anaweza akaacha ushoga, hivyo tutangulize ubinadamu wetu.
 
..NO.

..Je, wewe unaweza kumkaribisha mfi.raji watoto[Babu Seya] nyumbani kwako?
Hahahaha, we mzee ingekuwa jioni ningesema ni nguvu za K vant ...

Btw sijui kilicho nyuma ya kesi ya Babu Seya, ila kwajinsi nilivyoona hadi Lowasa anahaidi kumtoa jela maana yake labda ilikuwa kesi ya visasi lakini siwezi kuhukumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we mama acha mambo yakingese ebu taja hiyo sheria? wakati yule waziri anapinga ile opereshen ya makonda ulikua umelalwa na popobawa au,ni mashoga wangapi wamekuwa wakijitangaza hadi kuhojiwa kwenye redio,kuna aliekamatwa? au unataka bwana.achaga kukurupuka punga wewe
Uhuru aliukataa ushoga akiwa Raisi bile vile Kwa Museven amewahi kutoa kauli ya No kwa Ushoga, japo alishindwa kuisimamia na hata huyo uhuru ukifuatilia kuna wanaume wameshawahi kuoana kenya. Nauliza tuu MSIMAMO WA SERIKALI YETU NI UPI JUU YA USHOGA IKIWA WAZIRI ALIWAHI KUPINGA KAMPENI YAKUTOKOMEZA MASHOGA NA KUSEMA SIO MSIMAMO WA SERIKALI?
Mlisheni Lissu maneno lakini alieleweka vile mlivyotaka ajibu mtakane na Raisi atoe kauli ya seriki juu ya ushoga. Pia lissu aliuliza juu ya haki za kibinaad ikiwa ni pamoja na hao machoko, mlitakakatae kwani lini nchi yetu iliruhusu kama haijaruhusu si haitaki. Kwa mantiki hyo Hakuna ajuaye nani ni shoga kwakuwa serikali inalindhaki za faragha, na tia ya mtu ni ya mtu tuu hawezi kuacha kisLissu kapinga na wala hakuna atakayeianza kisa lissu hajaipinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninapokuwa na majadiliano na watu wa ubora wa chini kiasi hiki cha kuonekana hata munavyoandika, nasikitika. Naamini munaweza kuwa na hizo karatasi zinazoitwa digrii, lakini uandikaji ni wa aina hii. Maandishi mabovu, mpangilio wa maneno mbovu, hoja mbovu! Yaani ni ubovu kila kona! Kama mulisoma kwa mkopo wa bodi ya elimu ya juu, basi ni hasara tu!
 
Hahahaha, we mzee ingekuwa jioni ningesema ni nguvu za K vant ...

Btw sijui kilicho nyuma ya kesi ya Babu Seya, ila kwajinsi nilivyoona hadi Lowasa anahaidi kumtoa jela maana yake labda ilikuwa kesi ya visasi lakini siwezi kuhukumu

Sent using Jamii Forums mobile app

..swali langu liko palepale.

..unaweza kumkaribisha a pedophile nyumbani kwako?
 
Back
Top Bottom