Tuchore mstari kwenye suala la ushoga

Tuchore mstari kwenye suala la ushoga

Umesahau mgombea Urais wa Chadema 2015 aliahidi kumtoa jela pia. Tuvuke mipaka ya siasa. Nini tunataka kwenye issue ya ushoga? Tuache kuzunguka

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasahau, na nilipinga kauli ile muda huo. Mimi sisemei uCCM na UChadema, ninachosema ni kwamba mikakati serikali sasa hivi dhidi ya ushoga ilenga kuwadhalilisha victims wa mazingira yanayosababisha ushoga na kiki zaidi, huku ikiyafumbia macho na kulea mazingira yanayosababisha ushoga.
 
Kuna nchi siwezi kuitaja lakini nilisimuliwa na raia wa huko kuwa wakati Rais wake wa sasa anaingia madarakani nchi ilikuwa imeoza kwa uhalifu hasa ujambazi na wizi. Alichofanya aliendesha kampeni ya mtaa kwa mtaa kutaja wezi/majambazi kwa siri na baada ya kamati za serikali za mitaa kujiridhisha juu ya mienendo na ushahidi wa wahusika walipeleka list Polisi. Inasemekana zaidi ya 90% ya waliotajwa walipotea kwa mazingira tatanishi na hawakurudi hadi leo.

Hiyo nyakuanyakua ya kimya kimya iliendeshwa kwa kipindi kifupi lakini ilishtua kila mtu. Baada ya hapo hiyo nchi hadi leo unaweza kulala milango wazi.

Huo si utaratibu mzuri kibinadamu lakini umeipata amani na utulivu hiyo nchi. Leo unaweza kufurahia usalama wa huko bila kujua kuna maelfu walipotea hadi leo na ndio ikawa matoleo ya utulivu.

Sishauri utaribu huo kumaliza tatizo lakini zipo operations zingine zinasaidia sana kuogofya watu hasa hao waliokuwa wamefikia sehemu ya kutoogopa chochote wakijianika mchana kweupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni unafiki kujifanya una dini huku unakubaliana na mambo ambayo ni kinyume cha dini karibia zote. Wenzetu ushoga umepenyezwa hadi kwenye dini na kugeuzwa kawaida alafu na sisi tunataka kupiga siasa badala ya kuwa bold kwenye hili.
hiyo dini yenyewe unayoifuata utakuta inatoka huko huko kwa wenzetu, huwezi kuwinda kipepeo kwa manati, soma nyendo zake kwanza.
 
.
IMG-20190128-WA0005.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mjadala wa ushoga hauzuii mjadala wa unemployment. Mpaka sasa hii issue imekuwa na kigugumizi. Lazima tuwe na msimamo moja kwenye mambo ya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie Makonda awakamate tena mashoga wote awafunge kwa kosa hilo.
Serikali yenyewe inaogopa kufanya hivyo wewe unakuja kulaumu watu wasio na dola.
wewe,na hao unawalaumu woote wanaogopa wawezeshaji,yaani MABEBERU.Uhuru ni rais kwa term ya pili hana cha kupoteza ingawa sijui aliongea lini hiyo.
 
Haki za binadamu my black @#$#
Maduro bado Rais halali au haki za binadamu zimefanya yao na huko?

Sent from my SM using Tapatalk
 
Wakuu,

Sheria zetu zipo wazi kabisa kwenye swala la ushoga. Ushoga Tanzania ni marufuku kisheria lakini pia kwa utamaduni wetu haikubaliki.

Tunahitaji kigugumizi kwenye hili? Tunahitaji kuzunguka kwenye hili? Kama wapo wanaofikiri hili swala linakiuka haki za binadamu ( haki kwa standards za kizungu tunahitaji kuwa na zetu), basi wangepambana na hizi sheria tuone wako serious.

Ni unafiki kujifanya una dini huku unakubaliana na mambo ambayo ni kinyume cha dini karibia zote. Wenzetu ushoga umepenyezwa hadi kwenye dini na kugeuzwa kawaida alafu na sisi tunataka kupiga siasa badala ya kuwa bold kwenye hili.

Kwanza hili liwe swala la kikatiba kuonesha tunasimamia nini, ili tuache kupiga siasa kwenye vitu ambavyo hakuna anayetamani kizazi chake kidumbukie huko.

Sikilizeni jibu la kiume kutoka kwa Rais Museven ili siku nyingine tukiulizwa swali juu ya ushoga tuwe bold enough na si blah blah.

View attachment 1006840

Sent using Jamii Forums mobile app
Museveni alitunga sheria akatengua kabla haijaanza kutumika, labda uwe huna kumbukumbu vizuri

Hivi Tanzania kuna wanasiasa wanaunga mkono ushoga au ni hisia zako zimekufanya ufikiri hivyo na kufanya hitimisho la kufikiri kwako kuwa wapo wanasiasa wanaunga mkono!
 
Biblia ina visa vingi kuhusu watu walivyokuwa wanafanya hizo habari
ikiwemo pale Sodoma na Go'
Sio kwamba ktk Jamii zetu hawapo NOPE
wapo tena wengine ni marafiki zetu, ndugu, Jirani na hata Jamaa zetu

Biblia na KWA KUONESHA KUWA HAIPENDEZWI WALA KUFURAHISHWA NA HIZO HABARI
Hakuna sehemu hata moja imetaja jina la mtu yeyote yule aliyewahi kushiriki hichi kitendo

Kama unataka uhuru huo basi omba uraia uende kwao hao wanaunga mkono hizo habari
Ghadhabu ya Mungu iliwaka kwa watu wa Sodoma kisa vitendo hivyo vya ushoga

Ndiyo maana ulaya na marekani kila siku hawakosi mikosi mikubwa na mapigo mabaya juu yao
Mara vimbunga mara matetemeko n.k
Japo kibinadamu hatukosi sababu
utasikia mara ni hali tu ya hewa hiyo

sisi tunaona kuwa tupo salama ni vile tu kuna watu kama Rais Museveni hapa Africa
siku nasi tukiunga tu mkono basi tutasema wote
SOOOOMA HIYOOOOO INJINIA
 
Nyie ccm bunge si lenu? waziri wa sheria si wenu? rais si anatoka chama chenu? sasa kwanini kama kweli hamuutaki ushoga msitunge sheria ya kuuzuia.
Ni kweli kwamba member wa JF kama wewe hujui kwamba TZ tuna sheria inayokutia hatiani kwa ushoga?. Kama ulikuwa unafanya ushoga kwa kutojua kwamba sheria hiyo ipo, jifiche. Siku ukijizagalisha, utatiwa kibano.
 
Wakuu,

Sheria zetu zipo wazi kabisa kwenye swala la ushoga. Ushoga Tanzania ni marufuku kisheria lakini pia kwa utamaduni wetu haikubaliki.

Tunahitaji kigugumizi kwenye hili? Tunahitaji kuzunguka kwenye hili? Kama wapo wanaofikiri hili swala linakiuka haki za binadamu ( haki kwa standards za kizungu tunahitaji kuwa na zetu), basi wangepambana na hizi sheria tuone wako serious.

Ni unafiki kujifanya una dini huku unakubaliana na mambo ambayo ni kinyume cha dini karibia zote. Wenzetu ushoga umepenyezwa hadi kwenye dini na kugeuzwa kawaida alafu na sisi tunataka kupiga siasa badala ya kuwa bold kwenye hili.

Kwanza hili liwe swala la kikatiba kuonesha tunasimamia nini, ili tuache kupiga siasa kwenye vitu ambavyo hakuna anayetamani kizazi chake kidumbukie huko.

Sikilizeni jibu la kiume kutoka kwa Rais Museven ili siku nyingine tukiulizwa swali juu ya ushoga tuwe bold enough na si blah blah.

View attachment 1006840

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri huu sio kwa wafuasi wa Lisu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ushoga katiba inaushughulikiaje?! Mnapoongea hivi utadhani mashoga nao tunaletewa kutoka ulaya na amerika. Ushoga ni tabia kama ucha mungu, au ulevi. Hakuna sheria juu ya hili na haijawahi kuwepo,
Hakuna mtu anasema mwanangu sasa kawe shoga au lesbian, ni vitu watu hujifunza kwa utashi wao. Hata jamii hairuhusu lakini wapo, sasa katiba itawaua au itawafanya nini?!
Hawa watu wapo dunia nzima, kabla na baada ya Yesu. Hivi nani hasa anawatengeneza watu hawa, ni bebwru au sisi wenyewe?! Mnavyooongea utadhani ni bidhaa tumeletewa kwa hisani ya watu wa marekani hahaha.
Wewe inaonekana ni shoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom