MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,990
- 34,838
Wakuu,
Sheria zetu zipo wazi kabisa kwenye swala la ushoga. Ushoga Tanzania ni marufuku kisheria lakini pia kwa utamaduni wetu haikubaliki.
Tunahitaji kigugumizi kwenye hili? Tunahitaji kuzunguka kwenye hili? Kama wapo wanaofikiri hili swala linakiuka haki za binadamu ( haki kwa standards za kizungu tunahitaji kuwa na zetu), basi wangepambana na hizi sheria tuone wako serious.
Ni unafiki kujifanya una dini huku unakubaliana na mambo ambayo ni kinyume cha dini karibia zote. Wenzetu ushoga umepenyezwa hadi kwenye dini na kugeuzwa kawaida alafu na sisi tunataka kupiga siasa badala ya kuwa bold kwenye hili.
Kwanza hili liwe swala la kikatiba kuonesha tunasimamia nini, ili tuache kupiga siasa kwenye vitu ambavyo hakuna anayetamani kizazi chake kidumbukie huko.
Sikilizeni jibu la kiume kutoka kwa Rais Museven ili siku nyingine tukiulizwa swali juu ya ushoga tuwe bold enough na si blah blah.
View attachment magoiga_sn_video_1548665592092.mp4
Sent using Jamii Forums mobile app