Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 4,967
- 14,698
Mwachiluwi nipo Mtoni🤣🤣🤣 kesho nipitie hapo? Unikute kibaoni
Embu nichangie kwanza vyomboJaribu uone kama utaacha.
😁😁 sema kweli nitakuandalia good kbsaMwachiluwi nipo Mtoni🤣🤣🤣 kesho nipitie hapo? Unikute kibaoni
Ngumu siipendiNyama ya nyati hamna haja ya kuweka mafuta kdogo
Hilo limepita 😀Embu nichangie kwanza vyombo
Una nunua nini kati ya sahani au glass za wineHilo limepita 😀
Mimi nitachangia glass za wine, sahani zitachangiwa na Tumbili in town.Una nunua nini kati ya sahani au glass za wine
Ahahah ufanye wepes uje uchague chapMimi nitachangia glass za wine, sahani zitachangiwa na Tumbili in town.
Nitafanya hima mkuuAhahah ufanye wepes uje uchague chap
Haya nakusubiriNitafanya hima mkuu
👍👍Haya nakusubiri
Karibu mkuu...Nakuja hapo Serengeti mkuu. Niandalie nyati.
Naikomboa Tanganyika kwanza ndipo nitakuja kula nyama huku akili ikiwa imetulia.Karibu mkuu...
Utatoka 9d ndo uje au kabla ya 9d