Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 12,904
- 32,287
Naona unachoma miaka 20 jela
PoaNimekucheck kule
Karibunakubali...big up sana
Ngoj siku nimuonje ila havutiiDah, ni mtamu kama nguruwe aise 😋
Mbona michache iyo wao hawaliNaona unachoma miaka 20 jela
NdioNyama ya simba?
Ngirii si ni mnyama mwenye pilika pilika nyingii nyingiJe, ngiri a.k.a Kasongo yeeyee unamchima?
Huyu mnyama nakali sana nyama yake.
Cc Dr am 4 real PhD Monetary doctor
Marehemu Babu yangu alisema walikua WANAKULA UGALI WA TWIGA..Dah, ni mtamu kama nguruwe aise 😋
Umepanga wapi nije nipnge niwe jiran yakoNikikaa na wewe nyumba moja yaani ni kula kujigalagaza
Kwanza utaanda viungo vyako tangawizi kitunguu saumu na pilipili uta visaga kisha uta paka kwenye nyama na uhakikishe imekolea
Kisha utaweka nyama kwenye waya hakikisha ume ipaka mafuta kidogo
View attachment 3511244
Utakuwa una geuza na nyama yako ukitaka iwe mzuri basi ichome kwenye moto mkali sana
View attachment 3511245
Uku una icharanga charanga na kisu ili iive mpaka ndani limau iwe ya kutosha
View attachment 3511246
Kama una vyo ona hapa nyama teyari nakula na ugali swafii kabisa kisha nashushia na wine
View attachment 3511253
Labda khangaUnanijaza tu mate hapa! Kwahiyo nikawinde mnyama yupi nitoe kitu kama hiki😛
Tunashuka rombo lini mzeeJe, ngiri a.k.a Kasongo yeeyee unamchima?
Huyu mnyama nakali sana nyama yake.
Cc Dr am 4 real PhD Monetary doctor
Jaribu uone kama utaacha.Ngoj siku nimuonje ila havutii
Ila ni mtamu mno mkuu.Ngirii si ni mnyama mwenye pilika pilika nyingii nyingi
Wazee wa zamani walikuwa wanaenda kumchuku nyati wakiwa tu na hamu ya nyama.Marehemu Babu yangu alisema walikua WANAKULA UGALI WA TWIGA..
LEO TUMEULA WA TWIGA...BACK IN TIME WAZEE WA ZAMANI WALIKUA NA UPENDO WA DHATII
Baada ya Maandamano mkuu.Tunashuka rombo lini mzee
Nakuja hapo Serengeti mkuu. Niandalie nyati.Nyama ya nyati hamna haja ya kuweka mafuta kdogo